Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda (Mb) akifunga rasmi semina elekezi kwa wabunge wote wa bunge la Jamhuri leo katika Ukumbi wa Ubungo Plaza
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) (kulia ) na Mh. Mary Nagu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwezeshaji na Uwekezaji wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe akimsikiliza Waziri Mkuu wakati wa kufunga semina elekezi kwa wabunge
Sehemu ya wabunge waliofurika Ubungo Plaza wakisikiliza Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda (katikati) wakitoka ukumbini mara baada ya semina elekezi kufungwa. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Mb na kushoto ni Mhe. Hamad Mohammed Rashidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...