Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Mbadala Prof. Rogasian Mahunnah katikati (Institute of Traditional Medicine-Muhas) akiongea na Waandishi wa Habari ambao hawapo kwenye picha, kuitambulisha huduma ya Tiba Asili nchini Tanzania ambayo ipo siku nyingi tangu kuwepo wanadamu, na Serikali kuitambua rasmi na kuikubali mwaka 1989 na kuihamishia Wizara ya Afya badala ya Wizara ya Utamaduni. Kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam. Akifuatana na wa kwanza (kushoto) ni Mkurugenzi Msaidizi Tiba Asili na Tiba mbadala (WAUJ) Dkt. Silvester Budeba na wa kwanza( kulia) ni Msajili Baraza Tiba Asili na Tiba mbadala (WAUJ) Dkt. Paulo Mhame.Picha na Anna Itenda –Maelezo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mangi wa KiboshoFebruary 04, 2011

    1. mganga mashuhuri anatibu kwa siku tatu magunjwa haya;Kisukari,pumu, nguvu za kiume, BP sugu, kupata mtoto,kuwa tajiri,UKIMWI,Madaraka,Kwenda Ulaya na mengineo mengiiiiiii!!

    Hao ndo waganga wa Bongo wa Tiba za asili

    Mangi wa Kibosho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...