MAREHEMU KHADIJA AMIRI
(MRS. IBRAHIM CHIMGEGE)
SIKU, WIKI,MIEZI NA LEO HII NI MIAKA KUMI (10) IMEPITA TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI, TAREHE 25/02/2001, UMETUACHIA MAJONZI MAKUBWA SANA KILA TUKUKUMBUKAPO.
UNAKUMBUKWA SANA NA WATOTO WAKO HAMIS,AMIRI,OMARI NA MOHAMMED,WADOGO ZAKO ,WAKWE ZAKO, WAJUKUU ZAKO, UKOO WA CHIMGEGE NA UKOO WA AMIRI ABDALLAH, NDUGU, JAMAA, NA MARAFIKI WOTE.
(MRS. IBRAHIM CHIMGEGE)
SIKU, WIKI,MIEZI NA LEO HII NI MIAKA KUMI (10) IMEPITA TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI, TAREHE 25/02/2001, UMETUACHIA MAJONZI MAKUBWA SANA KILA TUKUKUMBUKAPO.
UPENDO MKUU ULIOTUPA UNGALI UKIISHI HAPA DUNIANI HATUTAUSAHAU KAMWE, LAKINI BADO TUNAAMINI MAOMBI YAKO KWA MUNGU , YANAENDELEA KUTUBARIKI.
UNAKUMBUKWA SANA NA WATOTO WAKO HAMIS,AMIRI,OMARI NA MOHAMMED,WADOGO ZAKO ,WAKWE ZAKO, WAJUKUU ZAKO, UKOO WA CHIMGEGE NA UKOO WA AMIRI ABDALLAH, NDUGU, JAMAA, NA MARAFIKI WOTE.
KATIKA UHAI WAKO ULIWAGUSA WATU WENGI SANA KWA WEMA NA UKARIMU WAKO, BADO WANAKUONGELEA NA KUKUKUMBUKA SANA.
UKWELI UMETUACHIA PENGO KUBWA
AMBALO HALINA MTU WA KULIZIBA KAMWE.
AMIN
Familia ya CHIMGEGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...