Mji wa Tanga unavyozidi kupendeza siku hadi siku,huu ni mnara wa Kumbukumbu ya Amani Duniani uliopo maeneo ya Mkwakwani.
Hili eneo la Njia Nne (4 ways)
barabara iendayo Bombo Hospital inavyoonekana kama ilivyonaswa na Ankal Othman Michuzi aliopo mkoani humo hivi sasa.

kwa picha zaidi

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hakika Tanga ni kuzuri.

    ReplyDelete
  2. kaka tanga pazuri pia pasafi huwa nafuatilia kila anapokaa mkuu wa mkoa Mh. Karembo kwa usafi wa mitaa na Bustani huwa zinapendeza ukiazia Ruvuma, Morogoro na sasa Tanga, sasa njoo huku Tabora yaani hakuna kitu kabisa pachafu pia hakuna hata utamu wa kukaa.

    ReplyDelete
  3. Mimi nilifika Tanga 2010 kwa shughuli. Vitu vinne vilinivutia zaidi : (1) Ukarimu wa watu wake, (2) Mji uko planned, kama vile Moshi. Tofauti na Dar na Arusha ambayo imekuwa haraka sana bila mipango, (3) Usafi wa mji, na (4) Usalama. Kuanzia barabara ya 1 mpaka ya 20 na Uhindini mtu unaweza kutembea saa zote. Ningeliongeza hoja ya tano [uzuri wa mademu wa Tanga]lakini sitaki kuwaudhi wadau wetu kina dada. Arbogasti N.

    ReplyDelete
  4. Ankal, mimi ni mdau wa historia. Kwa hivyo nilipenda namna kumbukumbu za kihistoria zilivyohifandhiwa. Oh yes, na mishkaki ile ya barabara ya tano karibu na supermarket inayoitwa Okaz (kama sikosei spelling).

    ReplyDelete
  5. Kweli Tanga kuzuri,halafu hakuna fujo kama bongo,yaani kumetulia sana, Tanga kunamaeneo mengi sana ya utalii ambayo yanaweza kuongeza uchumi wa nchi yetu lakini naona hawautangazi huu mji. Kunamapango mazuri mazuri sana na ya ajabu ajabu,kuna maji yanayochemka kama yapo jikoni lakini yanatembea, na vitu vingi niliviona nilipotembelea huo mji miaka mingi sana iliyopita.

    ReplyDelete
  6. Jee viwanja huko vipi...Mimi nimepapenda nikirudi niishi huko....Nilikua najua Tanzga ni uchawi tu kumbe kuzuri hivi? Nakumbuka niliambiwa ukijenga nyumba tanga wafa? Niambieni basi ...Tanga na bagamoyo is my dream place to live...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...