Salam,
Watanzania wote waishio UK Mnaomba kujitokeza na kusaidia kuchangia Wahangwa wa Gongo la Mboto walioathirika na Milipuko ya mabomu yaliotokea nyumbani Tanzania. Hayo yalisemwa na Mama Balozi Mrs Joyce Kallaghe mapema wiki ili kuchangia waathirika, michango mbalimbali kama nguo, fedha n.k inahitajiwa haraka.
Video link
Kutakuwa na fund raising events kama vifuatavyo.
81 BROAD LANE
SEVEN SISTERS
LONDON
NW15 4DW

SIKU: JUMAPILI TAREHE 27 FEB 2011

MUDA: 3PM - LATE

KWA WAKAZI WA READING NA MIJI YA KARIBU AU KAMA UTA WEZA KUFIKA TUTAKUWA:
VINCENT RESTAURANT
288-290
OXFORD ROAD
READING

SIKU: JUMAMOSI 26 FEBRUARY 2011

MUDA: 3PM - LATE

TAFADHALI LETA CHOCHOTE ULICHO NACHO ILI TUWEZE KUWASAIDIA HAWA NDUGU ZETU WALIO PATWA NA MAAFA HUKO NYUMBANI TANZANIA

KWA WAKAZI WA MIJI MINGINE AMBAO MTASHINDWA KUFIKA LONDON TUNAPANGA UTARATIBU WA JINISI GANI TUNAWEZA KUFIKA KATIKA MIJI YENU KUKUSANYA HIYO MISAADA. TUTAWAJULISHA MARA MIPANGO HII ITAKAPO KAMILIKA.

AU KAMA UNA CHOCHOTE UNAWEZA PIA UKAWEKA KWENYE ACCOUNT IFUATAYO NA TUNAOMBA UANDIKE JINA LAKO AS REFERENCE ILI TUJUE PESA IMETOKA KWA NANI AND CAN BE ACCOUNTED FOR!!


BANK: BARCLAYS
NAME: MISS SHILLA GABRIEL FRISCH
ACCOUNT NUMBER: 40974382
SORT CODE: 202941
Deadline ni 28th Feb 2010 ya kutoa michango

FOR MORE INFORMATION YOU CAN REACH US ON

+447527190239,
+447404332910,
+447876126862,
+4407747129987,
+447944473389

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...