Mkurugenzi mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiwakabidhi vifaranga vya kuku watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Rafiki Child Care Home kilichopo Mererani wilaya Simanjiro mkoani Manyara,Mfuko huo umetoa msaada wa jengo la kufugia kuku vyote vikiwa na thamani ya Milioni 15.Mkurugenzi mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akimkabidhi kifaa cha kulishia vifaranga vya kuku mtoto wa kituo cha Rafiki Child Care Home Nehemia Justin,kituo hicho kilichopo Mererani wilaya Simanjiro mkoani Manyara,Mfuko huo umetoa msaada wa jengo la kufugia kuku vyote vikiwa na thamani ya Milioni 15,anaeshihudia ni Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Nguvu Kamando.
Mtoto wa kituo cha Rafiki Child Care Home kilichopo Mererani wilaya Simanjiro mkoani Manyara Anna Lameck akipokea vifaranga vya kuku kutoka kwa Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Nguvu Kamando mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Vodacom Foundation mradi wa ufugaji kuku kwa kituo hicho,Mradi huo umegharimu shilingi Milioni 15.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii habari imenikumbusha kitabu cha hadithi cha Nyota ya Rehema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...