Tiba inayoendelea kutolewa dhidi ya Magonjwa Sugu na Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile katika kijiji cha Samunge wilayani Loliondo kilomita 450 kutoka Arusha mjini, kaskazini mwa Tanzania, imewavutia maelfu ya watu wanaosumbuliwa na Magonjwa hayo.

Tiba hiyo inayotokana na mti shamba, inasemekana kutibu magonjwa ya Ukimwi, Saratani, Kisukari, Shinikizo la Moyo na mengine mengi.

Mwandishi wa BBC Ben Mwang'onda amefika katika kijiji hicho

Kuona na kusikia video yake

BOFYA HAPA.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. inawezekana babu kuweza kutibu ma elfu ya watu bila kupungukiwa iyo dawa. wakati serekali wenyewe wanakuwaga na upuguvu wa madawa.

    ReplyDelete
  2. kwa kama unasema Mungu anaweza yipi la kushangaza mbele yake?M.Mungu Mwanadamu kama ufikiriavyo,hivyo majibu yote kwake utapata ulitakalo,hivyo kushangaa ya wanadamu kawaida ila M.Mungu ukiyashanga nawe watakushamgaa,kuza imani yako kuwa M.Mungu yupo na anaweza kila jambo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...