Flashback to June 27, 2007: JK akimpa pole Mama mzazi wa Marehemu Amina Chifupa Bi Judy Mbanga, siku moja baada ya kufariki kwa binti yake, jijini Dar. Mama yake Amina amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Mipango ya mazishi inafanywa na tutaendeleaz kuwafahamisha kadri inavyowezekana. Mola ailaze pema mahali pema peponi - AMINA

AMINA
ReplyDeleteR.I.P MAMA!!
ReplyDelete