Naibu Waziri wa Ujenzi Dkt. Harrison Mwakyembe akitoa mada juu ya maadili ya uandishi wa habari, uhuru wa vyombo vya habari na mipaka yake katika warsha ya bunge kwa waandishi wa habari za Bunge wikiendi iliyopita katika hoteli ya Millenium mjini Bagamoyo.
Kwa video hii na zingine kibao BOFYA HAPA
Kwa video hii na zingine kibao BOFYA HAPA
Ndio nyie akina Ankal mnaharibu lugha. Si umemsikia mfano wa Dk. hapo eti Mhadhri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Professa Issa Shivji. Huu mfano hauna tofauti na Chuo Kikuu cha University of Dar Es Salaam, Barabara ya Morogoro Road, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Nyerere International Airport, n.k. Natumaini Ankal utakuwa umejifunza mengi toka kwa Dk.
ReplyDeleteBaelezee ba andishi ya Ku-Tanzanie juu ya kuwa makini.
ReplyDeleteMdau
Lubumbashi.