Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa kiji cha gando,wilaya ya Wete alipotembelea maendeleo ya barabara Gando-Wete, inayojengwa na kampuni Mecco.
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi wa kijiji cha gando,wilaya ya Wete alipotembelea maendeleo ya barabara Gando-Wete, inayojengwa na kampuni ya Mecco.
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipewa maelezo na Waziri wa mawasiliano na Miundombinu Mh. Hamad Masoud,alipotembelea kituo cha kampuni ya Mecco inayojenga barabara ya Gando-Wete mapema leo mjini humo. Picha na mdau Ramadhani Othman wa Ikulu Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...