Home
Unlabelled
mbunge wa ludewa akabidhi vifaa vya michezo leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Niliwahi kuishi katika hii wilaya. Ndugu zangu mnaotoka ktk hii wilaya mfanye jitihada ya makusudi kuikomboa kiuchumi. Kwakuwa iko pembezoni mwa Tanzania imekuwa na mazingira magumu na labda iko nyuma kwa maendeleo pia.
ReplyDeleteI have a great love kwa hii wilaya japo sitoki huko. Wazawa please ongezeni jitihada za makusudi kuisaidia hii wilaya. Ni wilaya yenye wasomi na matajiri wakubwa walio nje ya wilaya na nje ya nchi. Wekeni juhudi ya makusudi kuiinua hii wilaya.
Asante kwa kuweka hii post na endeleeni kutuletea habari zaidi za Ludewa
Kweli wilaya hii ni nzuri kasoro yake haina maendeleo, ina raslimani nyingi na muhimu (makaa ya mawe) kwa nchi ya Tanzania.
ReplyDeleteKwa kweli inasikitisha.