Home
Unlabelled
halmashauri ya ilala sasa mambo mswano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sawa mambo mswanu lakini tutakuja kuambiwa kuwa yalikuwa na hujuma au yalinunuliwa machakavu kama yalivyokuwa ya wilaya ya kinondoni yetu macho kemcho taka pesa gapi pitisha veve kwa macho tu tunaona
ReplyDeleteduh huyu meya naona kweli ni damu changa inafanya kazi. Naamini iko siku dar itabadilika kama tutapata watu kama hawa. huu ni mwanzo tu naamini.
ReplyDeletehaya ndo mambo sasa. hayo magari yamegarimu milioni 800 ikiwa na maana kila gari na kifaa chake ni Tsh. Milioni 267. Gaharama hii ni ya chini kuliko mashangiungi ya Serikali (kama lile alilolipiga chenga Mh. Pinda).
ReplyDeleteTukiacha kununua kila shangingi tuna gari moja na vifaa vya kuhifadhia taka. Maendeleo yataletwa ikiwa tu Serikali itaamua kuchagua....kupanga ni kuchangua.(JK Nyerere),
BIG UP kwa ILALA MUNICIPAL