Globu ya Jamii inatoa pongezi za dhati kwa Francis Godwin kwa kuweza 'kuuchangamsha' mji wa Iringa na miji ya jirani kwa habari motomoto kila siku bila kuchoka. Karibu Dar kaka, maana nasikia uko njiani kuja kututembelea...
Huyu bwana ni mfano wa kuigwa na iwapo kila mkoa utakuwa na angalau Francis Godwin mmoja tu, basi kiu cha habari nchi hii kitatoweka mara moja. Mtembelee Francis kila siku BOFYA HAPA
MICHUZI SIO KAFIA NI KASIA USIHARIBU LUGHA MKUU!!!!!!!!
ReplyDeleteah mmenikumbusha kwetu Lifuma na Lumbila ila ziwa letu hilo likichukia ni balaa!
ReplyDelete