Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman

Haki za binadamu nchini Sudan zinaendelea kukiukwa na viongozi wa nchi hiyo amesema mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu Sudan. Mtaalamu huyo ambaye ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman ndio kwanza amerejea nyumbani baada ya kuzuru Sudan kwa siku nane, kuanzia Sudan Kusini hadi jimbo lililoghubikwa na migogoro la Darfur.

Mh. Othman amekuwa Sudan kutathimini hali ya haki za binadamu Kaskazini, Kusinini na jimbo lenye utajiri wa mafuta la Abyei.Amezungumza na mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa Flora Nducha kuhusu ziara yake ya Sudan.

Kusikiliza mahojiano haya bofya
http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/
au
http://www.facebook.com/UNRadioKis
au
Moja kwa moja kwenye mahojiano yenyewe:
http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/detail/123422.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...