Home
Unlabelled
JK apokea taarifa ya ukaguzi wa hesabu za serikali leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzee wa Kichaga pole kwa kazi nzito! ukitoka tu report hiyo inatupwa darini!
ReplyDeleteNashukuru kwamba siku hizi ripoti kama hiyo inafanyiwa kazi japokuwa mwisho wa siku hakuna anayechukuliwa hatua. CAG kamaliza ya kwake kabaini hela zimeliwa, unafuata upelezi, then Takukuru, halafu kwa DPP, halafu mahakamani au hana hatia. Mahakamani: ana kesi ya kujibu, kesi itatajwa tarehe....., Kesi ikitajwa mashahidi wa upande wa utetezi wanatafutwa, Kila shahidi atatoa ushahidi wake. Sasa ni Mashahidi wa serikali wanaanza kutoa ushahidi, Mashahidi wa serikali wamemaliza kutoa ushahidi wao. Kesi itatajwa tena tarehe......, Kesi ikishatajwa; hukumu itakuwa tarehe......, siku ya hukumu hakimu hakufika mahakamani hukumu imeahirishwa hadi tareh......, Siku ya hukumu inafika wakili wa utetezi ameweka pingamizi. Pingamizi litajadiliwa tarehe.....Baada ya miaka 10 washitakiwa wameonekana hawana hatia. Kila lakehri Tanzania. Miaka si mingi tutaitwa developed country.
ReplyDelete