Jenerali Ulimwengu akiandaa iPad yake kuonesha moja ya picha zake nyingi za kumbukumbu wakati wa mkutano wa Azimio la Dar es salaam la Uhuru na Uhariri na Uwajibikaji kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar
Picha aliyoonesha akiwa na Kanali Muamar Ghadafi jijini Bengazi mwaka 1983 wakati wa maandalizi ya mkutano wa vijana wa Afrika wakati huo yeye akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Pan African Youth Movement (1974-1985) iliyokuwa na makao makuu yake jijini Algiers, Algeria.
Jenerali akiwaonesha Profesa Issa Shivji na Profesa Saida Haroub Othman picha hiyo na nyingine kibao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...