Mshindi wa Miss Kisura 2011/12,Lethina Christopher (kati) akiwa na mshindi wa pili wa shindano hilo,Neema Killango pamoja na mshindi wa tatu,Flaviana Makungwa mara baada ya kutangazwa kwa mshindi wa Kisura iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Kilimanjaro Kempiski,jijini Dar.
Top six.

kwa picha zaidi za shindano hilo
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...