
The long-awaited reunion is here! 25th April 2011 is the day to be at Karimjee hall Grounds from 1830hrs to enjoy and reminisce about Kifungilo life.
Come dance to Mganda and Mdumange tunes with a live band, enjoy a snack of Miamba biscuits, taste the unique flavours of mangara and pancakes! Meet Sr. Fidesta, Sr. Lillian (the current Headmistress), Mr. Moshy, Mr. & Mrs. Kiluwa, Mr. Massawe!
TICKETS TO THIS ONE-IN-A-LIFETIME EVENT ARE AVAILABLE NOW FOR 60,000 TSH ONLY AT:
1. SHEAR ILLUSIONS - MLIMANI CITY, SAM NUJOMA RD.
2. SHEAR ILLUSIONS - MILLENIUM TOWERS, ALLY H. MWINYI RD.
3. VECH CATERING SERVICES - UNITED NATIONS RD. (Flying Chef compound, opposite Tambaza High School)
4. ARUSHA/MOSHI RESIDENTS, CONTACT ANNA NNKO-TEMBA ON 0713 292925 NA
TULENGE JUU
For more info call
0653 614444 / 0784 692628/ 0713 436013
...ahhh wizi mtupu..watu wanakutana kufurahia kumbukumbu zao af kiingilio elf 60?..vp mna mpango wa kupata hela za kusaidia na watoto yatima au watu wasiojiweza pia?
ReplyDelete60,000?????jamani......this is not fare since the idea behind is to meet,to have fun,kujikumbushia mambo ya zaman ya kifungilo,to see each other and to exchange ideas kana geuka kama ni kamradi ka mtu...
ReplyDeleteMy opinion is..the event should start from 8:00am onward.....drinks and bites should be for sale,kama mtaweka kiingilio atleast 10,000....from there you will managed to get lots of people and the event will be successful.
Wewe unaesema wizi mtupu, ukumbi ni bure? vinywaji,viti, mahema, chakula, MC? Mapambo? pia kutakuwa na live band music wananjenje je wanatumbuiza bure? na je walimu kuwaleta na maladhi??????, Na hiyo elfu 60 mwanafunzi anaweza kuja na mume wake au rafiki what do u think??????????????
ReplyDeleteoooooh my..... this is my old school, i went there on the 80's so when will it be 80's get together???? i will be there like a snap shot... i would love to meet sister Fidesta with her jicho lake kali. Any idea sister monica still teaching...... she was the best teacher ever.
ReplyDeleteMost of my class mate are mothers and done very well in their lives, which i'm proud of anyone went there.
80's reading this blog lets get together. xxxxxxx
Sio ALUMNAE, ni ALUMNI
ReplyDeleteMimi nafkiri ulipaswa kuuliza kutakuwa na nini na nini na kwa nini tunatoa hela hiyo? sio kusema ni mradi!Kutakuwa na vifuatavyo:-
ReplyDelete(1) drinks aina zote
(2) Dinner(chakula heavy - hizo miamba ni km viburudisho)
(3) MC & Music
(4) Wananjenje Live Band
(5) Walimu wataletwa/watapata huduma zote including transport na maladhi)
(6) Kutakuwa na wageni, na mgeni rasmi pia including baadhi ya wazazi watapata mualiko.
(7) St-picture/video/projector/media
(8)Ukumbi/Hema/mpambaji
Hii Event ni ya watu wote kuanzia 80's haibagui ila walioandaa ni 90's ondoeni wasiwasi karibuni wote
ReplyDeleteJamani Jamani Jamani kwakweli elfu sitini (60,000.00)ninyingi sana tena sana...kwani kukutana na kujuliana khali ndo inabidi tutoe hela?? sasa kama holi ndo gali hivyooo? tufanyie uwani kwa mtu tununue soda na karanga biashara kwisha!!!! (elfu sitani za niniii?) hao walimu tunawasafirisha wa nini??? hawawezi kujilipia wenyewe ama? Nilikuwa nimeipania sana ila elfu sitini sijiii ng'oo!! si bora nimnunulie mtoto wangu maziwa anywe apate afya...huyo Fidesta na hao walimu ndo nitoe elfu sitini?? Inahuuuuuuu...
ReplyDeletejamani i jus wish i was around... nadhani ni worth it girls kwa kuonana tena :) tulenge juu mtao enda enjoy! na wote mtakao kua dar na mikoa jirani jitahidini kwenda
ReplyDeleteGood Job Ladies! Kwenye misafara ya mamba na kenge nao wamo. Msikate tamaa tupo pamoja bega kwa bega.
ReplyDeleteJamani maisha ni magumu na si kila mtu anaweza ku afford hiyo 60000. Mimi mwenyewe nilimaliza Kifungilo 1977 and I would love to attend the function with my Family lakini hiyo bei inatisha!!!.
ReplyDeleteMimi ningewashauri labda mgetafuta Sponsors kufinance hiyo event even partly badala ya kutegemea Wageni watakao attend hiyo function. Supposing Watu wengi wasipo attend hiyo fuction kama mlivyotegemea mtafanyaje??? Bora mlifikirie hilo mapema
Kwanza, asante kwa organisers. Ni kitu tulichokitamani siku nyingi. Sometime back kulifanyika kikao pale Makumbusho na kila mtu alitaka sana reunion.
ReplyDeleteWanakifungilo wenzangu mliotoa comments - sitaki kumsema mtu kwani hali za maisha zinatofautiana. Lakini jiulize honestly, ni mara ngapi umeshatoa pesa nyingi kwa sherehe mbalimbali? Je mtoto wako hakupata maziwa? Je, wenye sherehe walikuwa na biashara?
Ulishawahi ku-analyse ni namna gani malezi ya Kifungilo yamechangia wewe kuwa jinsi ulivyo leo? Je, sherehe zingine ulizochangia na ukaenda zilikuwa na maudhui gani kwako? Je, zilikufanya kufikiria maisha yako na kukumbuka principles ulizofundishwa? Je, ulishawahi kufikiria ni namna gani you can give back kwa wale waliokulea?
Wenzetu wameacha shughuli zao na kuandaa kitu kwa ajili yetu sote. Kwanini usiwatafute kwa namba walizotoa ukauliza hiyo 60,000 italipia nini ili uwe objective katika kutoa conclusion kuhusu hicho kiwango.
To the organisers, big up kwa kuandaa kitu unique of the Kifungilo calibre. Products za Kifungilo sio za kukutanishwa kwenye pub au disco bwana! Ni wanawake wenye standing katika jamii wanaojua the finer things in life. Na hao hawatakosa kuhudhuria siku hiyo. As for the others, well...
Big up to the organisers. I am on the view that Tshs. 60,000/= is reasonable. However, whoever can't afford and is willing to attend can communicate to the organizers rather than posting discouraging comments.
ReplyDeleteI can't wait to meet marafiki wa ukweli.