Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, Dr Adelhelm Meru katikati akikata utepe wa kuruhusu mauzo ya kwanza ya kiwanda cha Paperkraft International Ltd kilichopo ndani ya eneo la Benjamin William Mkapa-Special Economic Zone. Kulia ni Goup General Manager, Mr Said Mohamed wa Bakhresa Group na General Manager, Mr George Lobo wa PaperKraft International Ltd.
Mkurugenzi Mkuu wa EPZA,Dr Adelhelm Meru, akionyeshwa aina nyingine ya mifuko ya kiwanda hicho.
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa EPZA,Dr Adelhelm Meru akiwa na Goup General Manager, Mr Said Mohamed wa Bakhresa, pamoja na Director of Development, Ms.Zawadia Nanyaro.
Mkurugenzi Mkuu wa EPZA,Dr Adelhelm Meru, akionyeshwa mifuko ya kiwanda hicho, inayotengenezwa kupelekwa nje ya nchi.
Kiwanda cha Paperkraft International Ltd

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...