Gari aina ya Toyota Hilux lenye nambari za usajiri DFP 6251 ikiwa imeingia chini ya lori la maji lenye nambari za usajili T462 ACC katika ajali iliyotokea usiku huu maeneo ya Kinondoni soko la TX.chanzo cha ajali hiyo inasemekana kuwa ni dereva wa gari hilo la Toyota Hilux kuingia barabarani bika kuangalia upande wa pili wa barabara wakati akitikea katika duka moja lililopo maeneo hayo.hakuna aliejeruhiwa katika ajali hii.
Gari hii ndio iliyoumia vibaya sana mpaka haitamaniki ha kuiona.
hii nayo imeumia lakini sio sana.
Askari wa usalama barabarani akiangalia wakati wasamaria wakijaribu kurudishia vifaa vilivyotoka kwenye gari hiyoo.
wasamalia walijitokeza kuangalia ajali hiyoo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Pole sana waathirika wa ajali.

    DFP hii nashawishika kuamini iko allocated serikalini coz za wenyewe hawakubali zitembee usiku....

    ReplyDelete
  2. Wee hapo juu unavijimambo...eti wenyewe hawataki zitembee usiku...nani kakkwambia???
    wabongo tuna midomo

    ReplyDelete
  3. Hakuna ajali nzuri.... ajali zote ni mbaya kwishnei

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...