Ni siku, mwezi,mwaka na sasa miaka miwili tangu ututoke ghafla kwa ajili ya gari iliyotokea tarehe 29/03/2009 pale Kijitonyama, Dar es salaam. Tuliumia sana. Tunakukumbuka sana baba yetu mpendwa HAMIDU AHMED BISANGA.
Ni vigumu kusahau ila sisi tulikupenda,ila mungu amekupenda zaidi.
Unakumbukwa sana na mkeo,watoto,wajukuu,ndugu, na marafiki zako wote pamoja na wafanyakazi wa NDC na Daily News.
TUNAKUPENDA DAIMA BABA YETU
INNALILAH WAINNA LILAH RAJUIN.
Ni vigumu kusahau ila sisi tulikupenda,ila mungu amekupenda zaidi.
Unakumbukwa sana na mkeo,watoto,wajukuu,ndugu, na marafiki zako wote pamoja na wafanyakazi wa NDC na Daily News.
TUNAKUPENDA DAIMA BABA YETU
INNALILAH WAINNA LILAH RAJUIN.
Mungu akulaze mahali pema peponi Mr Bisanga....Sisi wana Brake Pointi Kijitonyama, tutakukumbuka daima.
ReplyDeleteRodrick Mwambene
Hakika hutosahaulika milele kutokana na ukarimu wako na roho yako ya pekee ambayo Mungu alikujaalia. Vizuri kweli havidumu.
ReplyDeleteInna Lilaah wa inna illaah rajiun.
M/Mungu akulaze mahali pema peponi...Ameen.
ReplyDeleteSaleh Senga.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu akulaze mahali pema peponi, rafiki yetu, ndugu yetu mpendwa Bisanga "Hambis" kama tulivyopenda kukuita. Nilisikitishwa sana sana, niliposikia umetutoka ghafla. Bado ninayo machungu moyoni na hayataisha, hasa nikikumbuka upendo, ukarimu mawazo, na ushauri wako ulionipatia wakati wote. Ingawa haupo nasi kimwili lakini kiroho upo pamoja nasi. Tutakukumbuka daima. Upumzike kwa amani my very dear friend Hamidu Bisanga. Amen. S.K.
ReplyDelete