Home
Unlabelled
LIBENEKE JIPYA LA HABARI ZA BURUDANI - DarTalk.Com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sawa Mhe. Mbatia, tumekusoma hapo. Ila swali moja tu nakuuliza, wewe mbona unalizungumzia hilo swala la loliondo? mimi nilifikiri wewe ndo ungekuwa wa kwanza kutozungumzia kabisa na kuongea mambo mengine tu ambayo wewe unaona ni ya msingi zaidi. Uhai ni jambo la kwanza kabisa kabla ya maendeleo na mambo mengine na ndiyo sababu suala hili limeshika chat kwa sasa. Natumaini baada ya muda watu waendelea na maisha yao kama kawaida lakini tusiwazuie kuzungumzia suala hili ambalo hakuna duniani popote. Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki kazi yako. Amen
ReplyDelete