Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. One of the sane politicians.Tuachane na huu upuuzi

    ReplyDelete
  2. Mwenyekitiiiiiiiiiii!!!!Safari ya kwenda KV kuria mbege ni kama imewadia! Umefulia sana Kaka!

    ReplyDelete
  3. dah huyu jamaa anazungumza point. mawazo aliyokuwa nayo nilikuwa afikiri kama yeye. nina wasiwasi sana na huyu babu na serekali. kwa upande waserekali naamini kuna role play yao......na sitoshangaa watz itafika kipindi tutakuwa hatuelewi nini tunafanyiwa....na tukumbke babu haypo pekee yake kwenye hilo uhakika mia kwa mia...

    ReplyDelete
  4. Sasa wewe Mbatia masuala ya Loliondo na NCCR mageuzi wapi na wapi bwana! Inapotokea watu wanaenda kupata tiba unaanza kuleta mambo ya siasa. Hivi kuna tatizo gani watu wanapoenda kupata dozi ya dawa kwa babu na wanapona? Si watu wakipona ndiyo watalijenga taifa lao vizuri? Endelea na mambo yako ya kichama na waache watu wakapate tiba. Ukiwa na wanachama wenye afya njema nadhani ndiyo uhai wa chama. Lakini ukiwa na wagonjwa wenye vusukari, ukimwi, pressure na mengienyo sugu, je wataweza kweli hata kukijenga hicho chama? Hata hiyo katiba mpya wataweza kweli kuiandika? Ngoja watu wapate tiba halafu mengine yatafuata!!
    Mdau aliyekunywa kombe kwa babu Loliondo kna kupona!

    ReplyDelete
  5. Safi Mr. Mbatia. Huyu jamaa sasa ameongea kama kiongozi. Watanzania wengi watampinga sababu kweli kama jamii sie ni washirikina sana japo hatukubali. Wachache kati yetu wanaotumia akili ndo wanapingwa kama nini

    ReplyDelete
  6. UMEONGEA LA MAANA TANZANIA WATU WAMEKATA TAMAA HAMNA HOPE!

    ReplyDelete
  7. Mbatia nakuunga mkono. For a desparate person shall do anything even if is wrong.Watanzania achaneni na mambo ya Loliondo fanyeni kazi...Upuuzi mtupu.

    ReplyDelete
  8. Mimi namshangaa sana James. Nadhani ameona asipoonekana, kusikika na kuandikwa katika vyombo vya habari umaarufu wake katika siasa utapotea. Sasa kama hamuamini hata mzee wake wa kimila ambaye pia ndiye mbunge wake wa jimbo la nyumbani kule ambako kila mwisho wa mwaka huwa anakwenda kutambika atamuamini nani sasa? Mzee wa Kiraracha karejea toka Loli kupiga kikombe na kuuafahamisha ulimwengu kuwa ile ni dawa na kapata nguvu za kupambana na ufisadi. James acha ubishi usio na faida nenda Loli upate kikombe na huo ugonjwa wako sugu wa kubisha kila kitu utapona!!!

    ReplyDelete
  9. Naona watu hawana hata na hofu ya Mungu! hivyo huyo mzee wa watu angewezaje kutoka alikotoka mpaka kuweza kusema kuwa ameoteshwa hiyo dawa? na kama ni uongo mbana kuna uponyaj? hebu mbatia na hao wote ambao wanakusupport acheni kumdhihaki Mungu! unajuwa wakati mwingine watu mnapenda kujivunia laana/mabalaa! Uponyaji upo kwa sisi tunaoamini sababu hata mimi nilikuwa na kisukari tena chakuchoma insuline na sasa nipo safi kabisaaaa!!!!! sijui tena insuline ina sura gani! Tumshukuru Mungu kwa kila jambo kwa kupitia mtumishi wake Mch. Ambikile! Mungu mbarike Mchungaji Ambikile,Mungu Ibariki Tanzania na Mungu Ibariki Dunia yote kwa ujumla!

    ReplyDelete
  10. mimi naona hakuna tatizo watu wanaoamini kuwa babu anasaidia kwenda kule hili swala la siasa tuliweke kando mana watanzania kila kitu tunachanganya na siasa sijui kwa sababu siasa ni mchezo mchafu!! hivi kuna nini cha kuwazuia watanzania kwenda kunywa kikombe kama watu wanabelive wamepona ingawa sio wote kwani hata mbinguni hatuta ingia wote, wasiende loliondo wabaki wanafanya nini Tanzania yenyewe wizi mtupu, ufisadi na uchakachuaji, si bora wanaoenda kwa babu kuliko wanaopoteza muda kualika elshababi nchini kujakuuwa watanzania wenye uchungu na nchi yao. asie taka abaki ila wanaotaka weende kwa ajili ya afya zao na hili ni ushauri wa mtu binafsi sio la kushauriwa na wanasiasa mana hatuwaamini wote.
    mimi mkereketwa.

    ReplyDelete
  11. watanzania wote ni wagonjwa kumbe duh hakufai basi kama foleni yote watu wanamatatizo si mchezo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...