
Salam mjomba Ankal,
Natumai ya kua utakua mzima wa njema afya mimi pia niko salama kabisa, kwanza hongera sana kwa kazi zako za blog ikiwa ni pamoja na kutuletea habari mbali mbali za nchini kwetu, Duniani burudani na michezo big na Mwenyezi Mungu akubariki uendelee mbele zaidi wewe pamoja na timu yako nzima ya matukio.
Kwa niaba ya timu nzima ya Mbeya yetu blog,tulikua tunaomba msaada wako wa kututambulishia libeneke letu jipya la Mbeya yetu, Tunatanguliza shukrani zetu. Asante sana.
JINA LA BLOG: MBEYA YETU
Tunapenda kulitambulisha wadau wote libeneke jipya la Mbeya Yetu ambapo nia na malengo ni kuwaletea habari mbali mbali kutoka Jijini Mbeya, Tanzania na Duniani kwa Ujumla ikiwa unatukio la aina lolote usisite kututumia kupitia mbeyayetu@yahoo.com .
karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.
karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.
Kwa pamoja tunaweza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...