Mweshimiwa wa bwawa la Maini
naomba utuwakilishie mtandao huu mpya wa utalii wa ndani kwa wadau
Hii ni kwa ajili ya kuwapasha habari wadau wa utalii
www.kiliglaciers.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. An amazing website and excellent work done. I visited this web and found it to be very attractive and different. The first page that has the animation running is amazing with pictures of the wildlife and mountains that shows Tanzania as a whole in short. I would get hold of this company at any time to book my tour to Tanzania as they seem to have worked very hard to show the first impression of their company. Well done and keep it up!

    ReplyDelete
  2. Ila jamani tuacheni matani zebra wana mahips bomba kweli

    ReplyDelete
  3. Yeah website yako imetulia...Halafu imekamilika sio watu wengine wanaleta website zao ziko nusu broken links ....Lakini ya kwako imekwenda shule big time...I like it...Keep up with your good work....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...