
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood , ( wapili kutoka kushoto) akimsikiliza kwa makini Mratibu wa Wafanyabiashara wa Kimarekani , waliotembelea nchini, Charles Porter , wa kutoka The Ocean in Dar es Salaam Business Summit ( wa kwanza kushoto ) ni Mchungaji mwandamizi wa kanisa la Bethel Temple , Dk Barnabas Mtokambali ( katikati) na kushoto ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Emmanuel Meshelela, Mbunge huyo alikuwa mgeni rasmi katika kufungua mafunzo kwa wafanyabiuashara wa Manispaa ya Morogoro yaliyoandaliwa na Kanisa hilo pamoja na wafanyabiashara wa kutoka nchini Marekani ( hawapo pichani) mjini Morogoro. Picha na mdau John Nditi wa Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...