Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU Dk. Edward Hosea akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, baada ya Makamu wa Rais kufunguwa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU katika Hoeli ya Naura Spring jijini Arusha leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifunguwa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dk. Edward Hosea katik, wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wengine baada ya Makamu wa Rais kufunguwa mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha leo.

Ila Mr. Hosea ni bonge la handsome jamani....ila wee fara ulivyo na wivu utabana hii......kafe mbele uko...
ReplyDelete