Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Hiroshi Nakagawa wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, ambapo Makamu wa Rais alimpa pole Balozi huyo kutokana na Nchini yake kukumbwa na Majanga makubwa ya Tsunami wiki iliyopita.Amour Nassor VPO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nilifikiri Vice angemfuata balozi offisini kwake kwa ajili ya kumpa pole and not the oposite...

    ReplyDelete
  2. Tanzania tu wachoyo sana leo naona map ya nchi zilizoahidi kutoa msaada au zimeshatoa kitu lakini Tanzania yetu haipo...Jamani kutoa ni moyo japo kidogo...Mahela yote hayo tunayomwaga kwa semina elekezi kila siku kwanini tusiwagawie wenzetu japo kidogo sasa hivi walivyo na hili jambo? . Sio lazima tupeleke meli za kuokoa kwa vile hatuna lakini japo million 10 tu ingeweza kusaidia something over there ...Don't tell the Govt can't spare like $10,000,000 to help out......Acheni uchoyo toeni something...

    ReplyDelete
  3. leo nimesikia wapakistan wanaoishi Dar wamekwenda kutoa pole zao sisi wabongo tunasubiri kujengewa barabara tu na kupewa misaada, kweli hapendwi mtu!!

    ReplyDelete
  4. Sijui imekaaje hii...........
    Kwa mimi naungana na mdau wa kwanza.
    Dr Bilal ndiye alipaswa kwenda ofisi ya Balozi kumpa pole

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...