Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Bw. Tim Clarke wakati alipokwenda Ofisini kwa Mtaa wa Luthuli Mjni Dar es Salaam Kwa Mazungunzo kuhusu Masuala ya Miradi ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi leo
Waziri waNchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Bw. Tim Clarki Kuhusu Miradi ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi(Picha na Ali Meja)
Home
Unlabelled
waziri huvisa na balozi clarke wa umoja wa ulaya wakutana leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...