heshima yako Ankal Michuzi
kwanza nashukuru kwakupata habari kila siku kutoka katika blog yako na pia pole na shughuli za hapa na pale katika kuendeleza libeneke.
well namini blog yako iko wide sana na inapitiwa na watu wakila aina na wenye taaluma mbalimbali.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ni mhitimu wa masters na animeajiriwa katika asasi moja ya serikali hapa dar es salaam mpaka sasa sina girlfriend na muda unazidi kwenda shida yangu ni moja tu nina tatizo.
ankali mimi nilikuwa nimezoea kupanda mnazi kwa mkono mmoja au kujichua(masterbation) na nikawa addicted tangu wakati niko shule ya bording nikiwa o level kwa kipindi kile ulikuwa mchezo wa kawaida sana shuleni pale ila nikanogewa nikaendelea mpaka advance na chuo bila kujua madhara yake kwani muda mwingine nilikuwa naona bora kujichua nakuwa free kulikokuwa na mwanamke, nikajaribu uhusiano wa hapa na pale ila nikaishia kuachika nakuaibika kwasababu nilikuwa siwezi kushiriki ipasavyo mchezoni yaani nakuwa nishashinda goli kabla hata ya refa kupiga filimbi yakuanza na ninachukua muda sana kujianza tena.
sasa nimechoka na haka katabia nimeamua niweke hadharani ingawa imefikia kiasi ambacho siwezi hata kulala bila kujichua na maumbile yangu si madogo ila huwa yanasinyaa muda mwingi, na napata matumaini kwani kila asubuhi huwa nawika ila kwa muda mfupi tu alafu nasinyaa tena.
sasa imekuwa nimuda mrefu saana nakonda kwa mawazo napoteza ufanisi wa kazi nashindwa kumwambia mtu yeyote kama unavyojua ni suala la aibu hata rafiki na ndugu zangu hawajui juu ya hili na naulizwa unaoa lini nabakia kulia tu kimoyo moyo sasa naomba msaada katika blogu hii ya jamii najua kuna vijana wengi tu wenye tatizo kama langu ila inakuwa ni siri kusema kama mimi, na pia labda kuna mtu alikuwa na tatizo kama hili akapona naomba ushauri alitumia dawa gani?
pia kama kuna mtu yeyote anayeju dawa aniambie tu nitatumia...na pia nitashukuru saana kama nitapata tiba ya moja kwa moja kwasababu najua kunavidonge vya kumeza alafu baada ya muda au siku vinaisha nguvu.
tafadhalini ndugu zangu naamini hili tatizo sio langu tu ni vijana wengi tunamatatizo haya ila hii ni story yangu tu kila mtu anachanzo chake, samahani kwa usumbufu ila naomba tu kwahili maana sijawahi kufaidi utamu wa tunda tangu nizaliwe ila naamini naweza na mimi nikafaidi kama wenzangu mwisho wa siku.
asante ankali
nmsaada@yahoo.com
kwanza nashukuru kwakupata habari kila siku kutoka katika blog yako na pia pole na shughuli za hapa na pale katika kuendeleza libeneke.
well namini blog yako iko wide sana na inapitiwa na watu wakila aina na wenye taaluma mbalimbali.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ni mhitimu wa masters na animeajiriwa katika asasi moja ya serikali hapa dar es salaam mpaka sasa sina girlfriend na muda unazidi kwenda shida yangu ni moja tu nina tatizo.
ankali mimi nilikuwa nimezoea kupanda mnazi kwa mkono mmoja au kujichua(masterbation) na nikawa addicted tangu wakati niko shule ya bording nikiwa o level kwa kipindi kile ulikuwa mchezo wa kawaida sana shuleni pale ila nikanogewa nikaendelea mpaka advance na chuo bila kujua madhara yake kwani muda mwingine nilikuwa naona bora kujichua nakuwa free kulikokuwa na mwanamke, nikajaribu uhusiano wa hapa na pale ila nikaishia kuachika nakuaibika kwasababu nilikuwa siwezi kushiriki ipasavyo mchezoni yaani nakuwa nishashinda goli kabla hata ya refa kupiga filimbi yakuanza na ninachukua muda sana kujianza tena.
sasa nimechoka na haka katabia nimeamua niweke hadharani ingawa imefikia kiasi ambacho siwezi hata kulala bila kujichua na maumbile yangu si madogo ila huwa yanasinyaa muda mwingi, na napata matumaini kwani kila asubuhi huwa nawika ila kwa muda mfupi tu alafu nasinyaa tena.
sasa imekuwa nimuda mrefu saana nakonda kwa mawazo napoteza ufanisi wa kazi nashindwa kumwambia mtu yeyote kama unavyojua ni suala la aibu hata rafiki na ndugu zangu hawajui juu ya hili na naulizwa unaoa lini nabakia kulia tu kimoyo moyo sasa naomba msaada katika blogu hii ya jamii najua kuna vijana wengi tu wenye tatizo kama langu ila inakuwa ni siri kusema kama mimi, na pia labda kuna mtu alikuwa na tatizo kama hili akapona naomba ushauri alitumia dawa gani?
pia kama kuna mtu yeyote anayeju dawa aniambie tu nitatumia...na pia nitashukuru saana kama nitapata tiba ya moja kwa moja kwasababu najua kunavidonge vya kumeza alafu baada ya muda au siku vinaisha nguvu.
tafadhalini ndugu zangu naamini hili tatizo sio langu tu ni vijana wengi tunamatatizo haya ila hii ni story yangu tu kila mtu anachanzo chake, samahani kwa usumbufu ila naomba tu kwahili maana sijawahi kufaidi utamu wa tunda tangu nizaliwe ila naamini naweza na mimi nikafaidi kama wenzangu mwisho wa siku.
asante ankali
nmsaada@yahoo.com
ukweli kama kuna mtaalam au mtu alikuwa na tatizo kam hilo akapona amsaidie huyu msomi.
ReplyDeletePole sana kijana!
ReplyDeleteKwa hatua uliyofikia, unahitaji msaada wa Mungu zaidi. Kwa jinsi unavyosimulia, unasema uko addicted na hiyo tabia; kweli kabisa hiyo tabia haiwezi kwisha bila maombi. Ni kweli unaona aibu, lakini unahitaji msaada. Kama hutajali, unaweza ukawasiliana na mtumishi wa mmoja wa Mungu kwa namba hii: +255754363096. Tafadhali usione aibu, mtafute huyo mtumishi naamini atakutunzia siri yako! Ukipona, usiache kurudi wa Ankal michuzi kutupa ushuhuda. Pole sana. Ukiamini, yote yanawezekana.
hakuna utafiti wa kitaalam ambao unasema punyeto inapunguza nguvu za kiume. ila swala la mapenzi linahitaji confidence ya hali yajuu, hata kama mwanaume hajawahi kupiga punyeto akiwa hana confidence yani akawa na wasiwasi "fear" hatoweza mridhisha mwanamke. kama uume unasimama basi wewe upo fiti lamsingi ni kucheza na feeling zako tu ondoa hofu, jiamini unaweza. sababu tatizo kubwa umeshajiathiri wewe mwenyewe kwa kusema kwamba huwezi, lamsingi nenda kwa watu wa ushauri nasaha. mimi sikushauri utumie madawa, sababu feeling zako zitakuwa zimekufa nguvu completely hivyo bila dawa hutaweza tena kamwe. believe me, huna tatizo lolote as far as uume unasimama. wewe sema mimi ni mwanaume na ninaweza pia create mawazo kwamba unaweza and you'll do it. am tellin u. coz swala la punyeto sidhani kama kuna mwanaume hajawahi piga punyeto. ugonjwa wako wewe umejiathiri mwenyewe kisaikologia na sio kwamba unaumwa. sababu kuna wanaume wanapenda kufanya punyeto kabla ya kuanza kufanya mapenzi sababu wanaamini kwamba wakifanya hivyo wanakuwa very very strong, na wanafikia malengo yao. mapenzi ni swala la kuondoa wasiwasi tu na kujiamini kwamba unaweza thats all. biologically mwanaume rijali uume wake lazima uerect kila asubuhi. you do tha same. swala ni kwamba ondoa hofu. pia epuka wanawake ambao watakupa pressure. mana wanawake nao wanatofautiana. all the best.
ReplyDeletePole sana kijana nmsaada..hongera kwa kuthubutu pia...najua wengi wanamatatizo kama yako lakini wanashindwa kuthubutu. Mimi ningekushauri sana sana kwamza kwa kutumia blog hii kuna wahuni watakkujibu vibaya usikate tamaa mwisho wa siku utapata tiba. Kwanza mrudi Mungu wako kwa dhehebu lolote lile...mtangulize Mungu ndio msaada mkubwa. Pili jaribu kuwa na mpango mzuri wa lishe..yaani asubuhi ule breakfast vizuri mchana lunch nzuri na jioni dinner nzuri katikati ule matunda na kunjwa maji kwa wingi... achana na soda soda bia kwa muda...jaribu kula vitu asilia tuuu... ugali wali mboga mboga za majani na samaki kwa wingi dagaaa... tafuna mihogo karoti na miwa. Asubuhi pia unaweza kunjwa maji yaliyochanganywa na mdalasini kijiko kimoja na asali vijiko viwili katika kikombe kikubwa cha chai.... jiangalie baada ya wiki mbili hivi... ukiwa unahisi 'kupanda mnazi' basi soma biblia kama wee ni mkristo au soma msahafu kama wewe mwislamu ili umshinde shetani.. Pole na hongera sana kwa kuthubutu. Hata wengi wameshaoa na bado wanamatatizo kama hayo... usikate tamaa mradi umeshasema ni rahisi kupona. Ni Mimi Mama Ushauri
ReplyDeletePOLE SANA JITAHIDI SANA KUEPUKANA NA HIYO TABIA KWA KUPATA USHAURI. NA SIDHANI KAMA NI UGONJWA WA KUTIBIWA KWA MCHUNGAJI MSTAAFU WA LOLIONDO
ReplyDeletePole sana kijana,wewe huna matatizo yoyote kifupi umeathirika kisaikolojia na unasikiliza sana stori za vijiweni.Njia unayotumia wewe(KUJICHUA)ni salama zaidi,kwanza unajiepusha na magonjwa ya zinaa likiwemo lile kubwa la UKIMWI asikudanganye mtu NYETO haiathiri hata kidogo.Ushauri wangu unachotakiwa kufanya kwanza ni KUJIAMINI kwa mfano tukiwa kwenye michezo tuchukulie SOKA kabla ya kuingia kwenye GEMU mwalimu(KOCHA)kitu kikubwa anachohusia ni KUJIAMINI vinginevyo ushindi hautopatikana.Pili fanya mazoezi mara kwa mara hata ya viungo yanatosha sana.Kingine jaribu kusafisha mwili kwa kunywa chai utumie majani ya chai yanayoitwa TIMJAN kwa muda wa wiki moja uataona mabadiliko.Vinginevyo nakutakia ndoa njema.
ReplyDeletePole Mdau. Ni wasiwasi wako tu mdau. Hebu fikiria, ukipanick kwenye mtihani unaweza kufaulu? Tatizo ulilonalo ni hilo la 'siwezi' kama anon wa tatu alivyosema. Hakuna cha dawa, wala maombi, ni psychological fear tu..unahitaji kuovercome. Usitegemee siku ya kwanza tu utafanya vizuri, unaweza kuboronga, lakini kama gf wako ni wa ukweli, mtaendelea polepole mpaka kieleweke.
ReplyDeletePole sana Kaka
ReplyDeleteMimi ni mwanamama nimesoma kwa masikitiko sana melezo yako, ila nakuomba uamini kuwa Mwenyezi Mungu kwakuwa alikuumba ka huruma na mapenzi basi atakusaidia na utapona kwani kuzungumza tatizo lako ndio jinsi ya kulitatua.
USHAURI
Mimi nakushauri utafute mwanamke mwenye busara ambae utampenda kwa dhani na yeye atakupenda pia, muangalie kwanza mapenzi yake kwako kama ni ya dhati au mbababaishaji, kama ni mwanamke mwema anaefaa kuwa mke mchunguze sana kabla hujamweleza hili ukithibitisha kama kweli anakupenda kwa moyo wake wote na yuko radhi kukuuguza utakapougua, kukusaidia utakapoyumba kukubembeleza utakapopata tatizo kukupa faraja unapoihitaji, kukufariji unapofikwa na jambo, basi mwanamke huyo mweleze ukweli wako ili wewe na yeye muitafute pamoja faraja hiyo na wakati huo wewe unabidi uweke mawazo yako yoote kwa manamke na usahau kabisa mambo hayo, unajua unaweza kuwa unatamani kufanya tendo hilo kwakuwa huna mwanamke ukaishia kufanya ulichozoea, jiapinze kuanzia sasa hutofanya tena kaa hata mwaka wakati ukitafuta mwanamke na ukimpata weka mawazo yako yooote kwake naamimi mwanzoni atakuvumilia kisha utakuwa sawa na kama anakupenda kwa dhati siri yako ataitunza.Mungu atakusaidia.
Madhara ya punyeto ni kwamba unapata temporary impotence (use*** wa muda), kwa maana ya kupata matatizo ya kusimamisha kifaa kwa muda. dawa yake ni kuacha kupiga punyeto, kula michuzi ya pweza na ngisi na pia uwe unakula prawns na baada ya hapo utapona.
ReplyDeleteMie nadhani piga mzinga wako wa konyagi mmoja halafu mwite mama mambo yatakuwa safi polepole.halafu kama utaweza kumpata mwanamke mama mtu mzima anajua kukufanyisha mapenzi
ReplyDelete"no good comes from masturbation. Those who promote it either have never dealt with the problem or have just created an opinion with little knowledge of the negative effects"
ReplyDeleteNdugu, ni kweli hauko peke yako.
Ukipata muda soma hapa
http://newlifehabits.com/2007/08/08/how-to-stop-masturbation-addiction/
Kama wewe ni mkristo ningekushauri
-Ujue kwamba kufanya hivyo ni kinyume na mapenzi ya Mungu
-Uwe tayari kuwa muwazi mbele za Mungu kumueleza tatizo lako
Nakupongeza kwa kuona tatizo lako. ni hatua nzuri. Epuka kujihukumu, ondoa mawazo ya kwamba utashindwa kumtimizia haja mkeo. Weka nguvu kwanza katika uponywaji wako binafsi.
Jitahidi kukiri na kutubu kwa Mungu (mlilie sana na akuoneshe njia), atakupa nguvu za kushinda. Anza kuhudhuria nyumba za ibada, sikiliza nyimbo za Mungu. Usikae peke yako sana, jishughulishe na vitu vidogo vidogo!
Pia epuka kupitia sites zenye kushawishi, ninamaanisha usiangalie sana website zenye picha zenye kushawishi, hata kama ni magazeti. Pia epuka kuangalia sana movie zenye ushawishi, badala yake angalia na kusikiliza mahuburi. soma neno la Mungu
jiamini kuwa kwa msaada wa Mungu utaweza. kila chenye mwanzo kina mwisho
Asante.
wee dogo acha kuchekesha wanaume hapa huumwi chochote, yaani asubuhi jogoo wako anapanda mtungi kisha unasema umpata uhanithi, wee mzima kabisa dogo1 magoli yanakuponyoka kwakuwa unakuwa na wasiwasi,kwa ufupi ngoja nikupe ushauri:
ReplyDelete1. kwanza kabisa oa 2.kama utaogopa kumwambia mkeo nenda nae kwa daktari umwambie doc yeye atampa ujumbe kuwa wewe si hanithi ila unawasiwasi na amwambie cha kufanya.
3. kama utaamua kusolve wenyewe njia ni hii ya kuzuia kuponyokwa na magoli:
-mnafanya rom kwa muda mrefu,ukisikia bao linataka kuchomoka una mwambia anakushika kwenye hiyo shingo ya jogoo wako(kama umetahiriwa,kama unasoksi hapo taabu kidogo kaka)
- anamkaba jogoo wako kwa nguvu huku wewe ukijaribu kupumua vizuri na ku control mapigo yako ya moyo hadi unapojisikia kubanwa bao kumepungua, kisha mnaanza rom tena.
- rudia hivyo hivyo hadi angalau ukaribie dakika 10, kisha unashambulia na kufunga mojakwamoja.
ukifanya hivyo wiki moja tu kiwewe kinakutoka unakuwa gwiji na wife atafika anapotaka kama kawa.
usianze kujifunza kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume wee bado mdogo,waachie wazee ambao wana degerative changes hao hizo ndo saizi yao.
wewe inaelekea unaogopa wasichana,kwakuwa kama ingekuwa dini basi hata puli nikuzini pia ila kimwenyewemwenyewe. ndo maana nakushauri bora kuoa kwanza. lkn kama hu mind kuogopa dhambi ya uzinifu basi tafuta gf uendeleze libeneke.umeichekesha sana mwanangu hapa sina mbavu.
najua hata kuna mademu wengine pia wana frigid lkn wanajifanya hawana shida,kama mpo jitokezeni niwape msaada wa kitaalamu pia.hapa natoa bure, ukija clinic nitakutoza ushuru wa consultation.hahaha
kwa kuwa Mdau umeomba msaada mimi nakupa dawa asilia. mimi pia niliwahi kuhisi kama ninamatatizo kama hayo, mana mimi mwenyewe nilikuwa mpigaji punyeto mzuri sana. then nikapata msichana nikiwa na miaka 22 nimeanza chuo, siku ya kwanza kufanya mapenzi ndani ya dakika kama 1 hivi nilipiga bao na uume haukusimama tena. nikaulazimisha ilishindikana kabisa. basi nilipata sana hofu. msichana yuleyule sikuingine nikapata nafasi nikafanya kidogo tena nikapiga bao then uume haukusimama tena. nikaanza kujijengea hofu kubwa, kwamba nimeathirika na punyeto na siku zingine kadhaa za mwanzo nilikuwa dhaifu. nikaingia online kuangalia maswala ya kimapenzi. nikagundua kila kitu ni kutokana na mind yako ilivyo. nikajifunza vitu vingi sana. siku ingine tena msichana yuleyule nikapata nafasi ya kufanya mapenzi nae baada ya kusoma mapenzi mtandaoni. nilijishangaa nimepata nguvu za ajabu basi niligawa doz mpaka mwenyewe nikawa naona raha nilitumia zaidi ya nusu saa bila kupiga bao. mpaka msichana mwenyewe akasema basi kachoka hataki tena yani sikupiga bao kabisa siku hiyo lakini nilikuwa na furaha sana nikajiona shujaa sana basi tangu siku hiyo am a very normal person. cha kufanya ukiwa kama mwanaume kitu cha kwanza jiamini then usiweke mawazo yako asilimia 100 yani usicontrate kwa asilimia 100 kwa muda wote. yani unacheza tu na akili yako unaweka mawazo kidogo, ukiona kitu kinabeep unaondoa mawazo unawaza unapigana huko nje au unacheza mpira, nguvu zikianza kupungua unarudisha tena mawazo kwa asilimia 100, kitu kikikomaa unapunguza mawazo unajisahaulisha kama unafanya hilo tendo. basi unajikuta msichana tayari yupo tabani, akikuambia tayari amesharidhika sasa na wewe unaweka mawazo yako asilimia 100 unapiga bao unamaliza mchezo kwa ubingwa. yani la msingi ni kucheza na feelings zako tu na kujiamini. basi mimi mpaka sasa msichana yoyote nitakae kuwa nae lazima atanipenda sana na ataenjoy sana na mimi. kama uume wako ungekuwa hausimami kabisa basi hilo ndio lingekuwa tatizo. lakini tatizo lako wewe ni mawazo tu. dont discourage urself and you'll make it. kila la heri.
ReplyDeleteduh bwana kaka yaani ukisikia tu sauti chombo kinakwenda angola, ukiona hoteli ya mtoto ak47 ina tema njugu bila kulenga shabaha pole sana!hizi ni dalili za wasiwasi ulopita kipimo meku, msee wangu inabidi uanze kufanya mazoe.. mazoezi kweli! yaani eti wasema unaogopa kuoa meku? si uowe tu ati?sasa kama cobra anakasirika asubuhi inakuwaje ashindwe kung'ata? unamtuliza babangu hadi hapo mizuka ikizidi unamwachia anamali... anamaliza mchezo!ngoja nkwambie kitu! wee tafuta demu babake hapa namaanisha mchumba,hukawii kumuomba babako akaongeze mahari asee!!achana na tabia ya kuwa mkwe wake aboud kwa binti yake komoa meku!hiyo imeto.. imetosha ati, saizi achana na recorded tafuta live utakuja kutusimulia matokeo yake msee wangu hapahapa kwa uncle!
ReplyDeletenaongea kama daktari hapa,ukweli hakuna scientific evidence ya punyeto kupunguza nguvu za kiume,seems tatizo lako liko kichwani zaidi maana unasimamisha vizuri tuu,na kama mwanaume ambaye nimepiga punyeto pia naamini punyeto inanisaidia kupiga muda mrefu bla kukojoa ingawaje nalo hili sina scientific data ili experience yangu nimeona hili...na tatizo lako la kukojoa upesi linaitwa premature ejaculation ni common sana kwa watu wengi ila linatibika usiwe na wasiwasi kamwone dr,na kumbuka mazoezi na kula vizuri na try to avoid stress itakusaidia sana kufanya mapenzi vizuri
ReplyDeleteukaanzia olevel UKAJIWOWA!UKAJIWOWA, ukaenda A'level-ukaiwowa,ukaendela kujiwowa mkono, ukaenda chuo-UKAJIWOWA!UKAJIWOWA! hadi ukafanya master-UKAFANYA masturbation, ukaanza kazi UKAJIWOWA MARA YA KWANZA,UKAJIWOWA TENA MKONO, mkono ukauma ukaona ah! ngoja nikashitaki sasa kwa uncle.
ReplyDeletesasa hapa kisaikolojia umepata kaugonjwa ka kujiwowa na kuogopa wanawake unaona hawana nafasi sana kwako,maana ukitaka tu UNAJIWOWA UNAJIWOWA unapoa.
yaani unakashika kashetani unakaniga hadi kana suphocate kanatapika kanashindwa na kulegea...!!!! unapeta.
sasa inabidi kukakomoa ukatafutie lichombo.hiyo ndiyo dawa halisi sio kukatiza short cut unajiwowa any time t. jifunze kufukuzia aka kupiga misele hadi ukipewa ruksa unakuwa na hasira unafanya kweli.
do you know which organ is very sensitive to a masturbating person? the EARS. yaani umejizoeza unawahi usije kutwa ndo maana unapiga immature ejaculations,na hiyo effect inaendelea hadi ktk real game.maana imekuwa conditioned reflex,inabidi ku reverse hiyo tendency utapona.acha kujiwowa!
swali, sasa ukitakaga kujiwowa huwa UNAJILAMBA KWANZA MTAMA(KUJIPIGA KWANZA NGWALA)? au...?
Kwanza, linawezekana likawa ni tatizo ambalo pia limekunusuru kifo. Nani anajua, kama ulikuwa haujichui ungekuwa tayari umeshapoteza au uko kwenye hatihati za kupotenza maisha kwa gonjwa hatari la Ukimwi? Jaribu kuangalia pande zote mbili. Jaribu kuangalia ni watu wangapi unawajua ambao tayari wameshapoteza maisha kwa hili gonjwa? You must be very lucky.
ReplyDeletePili, pressure toka kwa ndugu zisikukondeshe. Wewe ndiye utakayeamua utamwoa nani na lini. Sio ndugu zako. Kwanza umri wako bado mdogo. Miaka 28 sio kitu. Ungekuwa mwanamke sasa ningeelewa.
Watu wametoa ushauri mbalimbali hapo juu na wengine bado wataendelea kutoa. Zingatia ushauri wao. Ila mimi nitakuambia kuwa pamoja na kuwa hili ni tatizo, pia mshukuru sana Mungu kwa kukuweka mbali na ngono. Inawezekana kama ilikuwa mtu wa ngono, ungekuwa unaandika mengine hapa.
Mwisho mapenzi sio kufaidi utamu wa tunda tuu. Utamu wa tunda ni sehemu ndogo sana ya mapenzi. Mwanamke hatakupenda simply because ya utamu wa tunda. Ukigeuza upande wa pili, mapenzi yana uchungu pia. Asilimia kubwa ya watu walio kwenye mapenzi hawana raha. Utakuja kuikumbuka hii comment yangu utakapoanza mahusiano ya mapenzi.
Kwa umri wako huu ndio muda wa kujingenga zaidi kikazi na hata kielimu. Enjoy your single life lakini sio kwa kufanya ngono. Practical solution ya tatizo, try to make your body busy. Go jogging, nenda gym or cheza mpira mida ya jioni. By the time you get home, your body is tired. Oga, kula, kalale.
Kumpata umpendae utampata. Usiwe na preha hata kidogo. Mpenzi hatafutwi kama bidhaa. Ila usitafute mpenzi kwa ajili ya kufaidi tunda, otherwise you will regret on this.
Kwa ankal, mbona umezuia watu wasikopi hata link. Kama kuna mdau ameweka link ya kumsadia huyu jamaa, lakini haikopiki wakati link yenyewe ndeeeefu. Au unataka tuinakili kwa neno mojamoja. Wengine we are always on the move. Hatuna muda wa kunakili neno moja moja.
KWA MAONI YANGU USIWE NA WASISI ;MIMI NI MTAALAM WA AFYA. KUPIGA GOLI MAPENA KABLA YA FILIMBI NI KIGEZO KIKUBWA SANA KUWA NGUVU ZAKO ZA KIUME HAZINA SHINA. HAKUNA MADHARA YOYOTE KWENYE KUPIGA PU@#!TO. ILA UANGALIE USIJE UKAJIDHURU KWA SABABU SIO NATURAL WAY. KWA WASTANI WANAUME INACHUKUA DAKIKA 5-7 KURUSHA MAGOLI YA KWANZA. WAKO WENGINE WANARUSHA MAGOLI CHINI YA DAKIKA MBILI; HASA WENYE UMRI MDOGO.LAKINI UMRIUNAVYOZIDI MDA HUU UNAONGEZEKA. ALAFU JOGOO LAKO KUWIKA ASUBUHI NI KIGEZO KIKUBWA UNA NGUVU ZAKUTOSHA. WEWE LA MUHIMU NITUTAFUTA MCHUMBA/MKE WALA USIWE NA WASIWASI.NI HAYA MACHACHE....
ReplyDeletePOLE KAKA
ReplyDeleteNI NGUMU KUKUELEZA KIUNDANI UKANIELEWA KAKA, LAKINI NAWEZA KUKUSAIDIA USIWE NA SHIDA YOU WILL BE OKEY. CONTACT ME THROUGH kayaga86@gmail.com or 0713 365310. pole kaka, have hope.
Miminachokwambia..sizani kuwa masturbation inaharibu hiyo...Ingawaje upo addicted try to put your mind straight overcome hiyo addiction..I am speaking as a women na mume wangu alikua na hii tatizo. Sio la kumasturbate bali nguvu ilikua hipo 100 % We talked about it na alikua anibishia sana mwanzoni akizania nasema hivyo tu labda nina mtu nje. Na pia ankasema kwanini mwanzo it was okay lakini sasa hivi na complain.Hivyo akaenda kwa Dr...Sasa mimi ninacho kuambia kwa kuanza
ReplyDelete1. Kula health food ( balance diet)
2. Tumia multivitamins
3. Punguza uzito na kama uko kwenye right weight basi fanya mazoezi at least mara tatu kwa week
4. Kula vyakula vyenye sijui ni madini gani lakini vinapatikana kwenye ndizi...
5. Punguza stress
6. Punguza beer
7...NENDA KAPIME HIGH BLOOD PRESSURE...Unaweza ukawa una BP lakini hujui ila kwa umri wako sidhani Ila wanaume wengi wenye familia zenye BP wanakua na BP lakini hawajui...Mume wangu pressure ilikua ndio tatizo alitumia dawa mwanzoni lakini alivyopunguza uzito na kufanya mazoezi , kula vizuri hana tena BP...na kila kitu ni sawa sasa hivi
I pray for you
alafu mnategemea taifa liendelee kwa wasomi wa aina hii yaani wapiga punyeto!! haya bwana.....
ReplyDeleteNilikuwa na tatizo Kama lako. Nikampata mpenzi (saa hizi ni mke wangu) akawa mvumilivu wakati najenga confidence yangu. Saa hizi mambo mukidee
ReplyDeleteTafuta mpenzi aliye mature kidogo. Ondoa hofu kwani ni Jambo la kawaida regardless what everyone says
Vuta bangi, shida yote hiyo itaisha!
ReplyDeleteKijana huna ugonjwa ila umebarikiwa hutakufa kwa ukimwi. Nakutakia maisha marefu
ReplyDeleteMimi nimepiga punyeto for about 15 years na ninaweza kula nazi na mpenzi wangu vizuri kabisa.kwanza punyeto ilinisaidia sana kutohangaika na wanawake na pia kujikinga na magonjwa.Kwa sasa licha ya kwamba nina mpenzi wangu, anapokuwa amesafiri au mimi nimesafiri muda mrefu kidogo bado natumia punyeto kujiridhisha na ni safi na naridhika na kupunguza mihemko.Wewe jamaa huna ugonjwa bali wasiwasi wako tu wa kukosa kujiamini.Tulia kabisa unapokaribia kuwa na mwanamke jenga confidence kabisa na weka mawazo yako hapo.
ReplyDeleteWengi hapo juu wamekushauri vizuri.Huo si ugonjwa hata kidogo.Ila nakushauri tafuta mpenzi wako umpendaye ili uanze kupunguza hiyo punyeto.
Jamaa mwingine yeye alisema sehemu zake za siri ni ndogo sana ingawa anafanya mapenzi ngoma inapo simama, je huyu tunamshauri nini juu ya maunbile yake?
ReplyDeletenashukuru sana kwa wote ambao mmeniandikia email pia nashukuru kwa wenzangu ambao wanatatizo kama langu na wameamua kujiunga na mimi ili kupata ufumbuzi pia namshukuru Ankal kwakupost habari hii ambayo kwa namna moja au nyingine ni kutokana na ujinga wangu tuu ila nashukuru Mungu kwa maana tiba ya ukweli inapatikana hapa sasa najiamini kabisa na nitakuja kutoa ushuhuda tena hapa hapa kwenye blog ya jamii
ReplyDeletepia namshukuru mdau aliyetoa link hii
http://newlifehabits.com/2007/08/08/how-to-stop-masturbation-addiction/
kwakweli inanitia sana nguvu na namshauri mtu yeyote akipata muda aipitie ina madini yakutosha na kumbe tatizo hili ni la watu zaidi ya milioni duniani wasichana kwa wavulana.
thanks a lot na Mungu awabariki.
nmsaada@yahoo.com
aisee nami nina tatizo kama lako!! ila mimi nililipata kutokana na stress and depression nilipofell chuo. Bado natafuta tiba. nikipata ntakujuza, nawe ukipata nijuze.
ReplyDeleteSoma kuhusus penil dysfunction na temporary impotence...ukigoogle utapata information..it is all in your head..shift your interest mood from musterbation to loving the actual act of sex. Divorce ur hand and have no contact with her at all. Kuhusu kuoa, uless huyo mke anajua kinachoendelea. kumuoa mtu na kum deprive sex ni ukatili, usishangae akikukimbia..pia practice actual intercourse, the more you do it the bettr
ReplyDeleteMkuu uko shwari! Wala usihofu sana,tatizo lako ni kuwa na hulka kubwa kufanya mapenzi kipindi ukiwa na demu! Hii inaweza sababisha unafika juu ya mlima bila kuukwea,punguza presha pindi uwapo na demu! Pili wametoa ushauri mzur sana hapo juu! Hebu ondoa hofu uwapo uwanjani,Anza gemu ukihic unakaribia kula poz kikdgo na hama kimawazo fikiria k2 kingine nje ya mapenzi kinaweza kuwa cha kusikitisha !wakat umepoz usimuache mwenzio pendng unaweza kuwa unapiga stor taarb wakt huo ungai n momentum, the resume! Aft a while utakuwa noma! Hilo ni sehemu ya zoez ukifanya zoez hili kwa uaminifu utawin
ReplyDelete