MZEE WA SUPU NAOMBA WENYE DATA WANIPE KWENYE PICHA HII YA TAIFA STARS. NADHANI ILIKUWA CHALLENGE CUP 1981 SHAMBA LA BIBI.
SHUKRANI. MDAU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. weye mdau unataka data gani

    unataka jua kaptula walinunua wapi au bei za mavazi

    tafadhali muwe munaandika mambo na sio kuachia wengine wakiguess kusumbua kichwa, unasema data unajijibu mwenyewe

    jieleze ujibiwe unalolitaka na sie kuegesha hii ni tabu ya watu wengi haswa wabongo

    Mdau

    ReplyDelete
  2. piter tino tall anayecheka omary husein short kafungata mikono kifuani ahmed hamasha mwenye afro kama sijakosea, wengine malizieni basi juma mkambi au makumbi juma watano toka kushoto, alafu wapiga picha wa zamani walikuwa na nidhamu ya uhoga yaani wanavizia tu ahahaha hata michuzi picha zako za zamani naisi hata hii ni yako, alafu wakawa wanakupa mpiga picha bora au ilikuwa motivation tu?

    ReplyDelete
  3. halafu mkiambiwa wavivu wa kufikiria mnapigana. unataka hata chemsha bongo uwekewe majibu?

    ReplyDelete
  4. Mohamed kajole "machela",I cant tell(he turned away), Said George? Hussein Ngulungu, Juma Mkambi "general", Tasso Mukebezi, Mohamed salim?,Omar Hussein "keegan", George Kulagwa, Thuwen Ally,Peter Tino-- kwa wenye Bukta tu...... Those old good days, hapa Mbwa alikuwa anakula karanga, maana hawa ndugu walikuwa wachezaji kweli, mchezaji amejenga paja kama mitungi ya BP, Big up Brothers.... nakumbuka enzi hizo nilikuwa Yosso,unanyatia team inaingia uwanja wa Taifa unamuomba mchezaji umbebee viatu, anawaambia walinzi huyi mdogo wangu

    ReplyDelete
  5. michuzi 1981 alikuwa bado dogo pale Upanga

    ReplyDelete
  6. wenye bukta tu:
    kutoka shoto..Mohamed Kajole "Machela",simjui, Leopold Tasso Mukebezi,Hussein Ngulungu, Juma Mkambi"Le General", Salim Amir, Mohamed Salum, Omar Hussein "Keegan", George Kulagwa, Thuwein Ally na Peter Tinno.

    ReplyDelete
  7. Mzee wa supu? Michuzi siku hizi kawa Mzee wasupu? embu search google kwanza ndo ujue umemtukana kiasi gani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...