Home
Unlabelled
MSAADA KWENYE TUTAZZZZ...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
weye mdau unataka data gani
ReplyDeleteunataka jua kaptula walinunua wapi au bei za mavazi
tafadhali muwe munaandika mambo na sio kuachia wengine wakiguess kusumbua kichwa, unasema data unajijibu mwenyewe
jieleze ujibiwe unalolitaka na sie kuegesha hii ni tabu ya watu wengi haswa wabongo
Mdau
piter tino tall anayecheka omary husein short kafungata mikono kifuani ahmed hamasha mwenye afro kama sijakosea, wengine malizieni basi juma mkambi au makumbi juma watano toka kushoto, alafu wapiga picha wa zamani walikuwa na nidhamu ya uhoga yaani wanavizia tu ahahaha hata michuzi picha zako za zamani naisi hata hii ni yako, alafu wakawa wanakupa mpiga picha bora au ilikuwa motivation tu?
ReplyDeletehalafu mkiambiwa wavivu wa kufikiria mnapigana. unataka hata chemsha bongo uwekewe majibu?
ReplyDeleteMohamed kajole "machela",I cant tell(he turned away), Said George? Hussein Ngulungu, Juma Mkambi "general", Tasso Mukebezi, Mohamed salim?,Omar Hussein "keegan", George Kulagwa, Thuwen Ally,Peter Tino-- kwa wenye Bukta tu...... Those old good days, hapa Mbwa alikuwa anakula karanga, maana hawa ndugu walikuwa wachezaji kweli, mchezaji amejenga paja kama mitungi ya BP, Big up Brothers.... nakumbuka enzi hizo nilikuwa Yosso,unanyatia team inaingia uwanja wa Taifa unamuomba mchezaji umbebee viatu, anawaambia walinzi huyi mdogo wangu
ReplyDeletemichuzi 1981 alikuwa bado dogo pale Upanga
ReplyDeletewenye bukta tu:
ReplyDeletekutoka shoto..Mohamed Kajole "Machela",simjui, Leopold Tasso Mukebezi,Hussein Ngulungu, Juma Mkambi"Le General", Salim Amir, Mohamed Salum, Omar Hussein "Keegan", George Kulagwa, Thuwein Ally na Peter Tinno.
Mzee wa supu? Michuzi siku hizi kawa Mzee wasupu? embu search google kwanza ndo ujue umemtukana kiasi gani!
ReplyDelete