Mh Mbunge wa Temeke ABASS MTEMVU na Mke pamoja na watoto wa marehemu wakiweka maua pamoja na mashada kwenye Kaburi la Marahemu Modibo Keita
Baada ya kutoa sala za mwisho Padre akimwaga mchanga.

kwa picha zaidi

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Pole sana Mhe. Mtemvu na wanafamilia kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu awape nguvu katika wakati huu mgumu kwenu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
    Faustine Ndugulile-Kigamboni

    ReplyDelete
  2. Tafadhali Michuzi!!

    Hakuna sbb ya kuchanganya siasa na swala la msiba, sbb walioudhuria maazishi sio wote wana CCM.

    Msiba auna itikadi.

    ReplyDelete
  3. May he rest in eternal peace. God give the family strength to deal with his loss. AMEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...