Home
Unlabelled
ngoma bado mbichi loliondo: taswira za leo kwa babu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nafikiri kwa sasa mtu akipangiwa loliondo kama kituo cha kazi hawezi kukataa maana ni dili si kama zamani, maana hata ukikaanga nyama ya bata ukauza inaweza kukutoa.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Wadau mm nina swali: Eti ni kweli kwamba mti babu anaotumia kama dawa ni sumu kali sana ikitoka nyongo ya mamba huo mti ndo unaofatia? Wasemaji wanasema ni kwasababu tu babu katumwa na Mungu vinginevyo mambo yangekuwa mabaya sana. Najua ni maneno ya watu but pls comment
ReplyDeletenaona babu kavaa the fulanazzz!!!!
ReplyDeleteUngekua sumu Twiga asingekula!
ReplyDeletejamani kama dawa ya babu baada ya miaka kadhaa italeta madhara basi watanzania wote tutakwisha.
ReplyDeleteMAISHA UTANI
Please can some doctor go and prove if this is real. God is powerful but the devil is also very powerful..... do we have a scientific proof that his medicine work. Let us not be carried away... I have yet to see a scientific proof that one had a documented disease and that this medicine has healed it all. Tanzania is so desparate for any type of health care. Please someone help me. beyond people testimony has the MD proved it
ReplyDeleteJAMANIII EEE RIZKI YA MTU YATOKA MIKONONI MWA WATU..WAKATI WA BABU HUU SASA.
ReplyDeleteJAMANI ANGALIENI MUNGU MKUBWA. UMUHIMU WA AFYAA. TUNA MALI LAKINI HUJASIKIA WATU KUZIFUATA. TUMEPEWA MTIHANI MDOGO TU WAKUNYIMWA AFYA ANGALIA WATU WALIVOKUWA NA WAMECHANGANYIKIWA. KAMA BABU AMEPEWA UWEZO WAKUCHANGANYA MIZIZI NA KUGUNDUA DAWA SIO JAMBO KUBWA KWA MUNGU.DUNIA TAMU.
ReplyDeleteduh kUMBE TANZANIA WATU WOTE NI WAGONJWA YAANI FOLENI YOTE KUMBE HATA KUOA SIJI HUKO NAOGOPA,sasa dawa ya nini anatoa je alopewa dawa ameshapona isije kufikia watu wakapuputika kama kipindu pindu tafadhali serikali zuieni haya mambo ni hatari maana magari kama unavoyaona hakuna wataalamu walopelekwa kuangalia? PIA BABU ANGEWEKA KILA KICHWA 1000 ANGEKUA MILIONEA SASA-HATA HIVO...
ReplyDeleteWale wachunguzi wa Wizara ya Afya Mbona hawajatoa tamko hadi leo na watu wanaendelea kubwia kikombe!? hii sio soo kwa sekta ya afya?Mbona hatujaona cheti hata kimoja cha Dr kuthibitisha uponyaji au ni imani tu? Ikitokea mambo huko baadaye si tutarejea kuilamu serikali? Kumbukeni kulikuwa na dawa nyingi ambazo zilivuma kama hii mf NGOKA ziko wapi leo?
ReplyDeleteMdau- Knyama
Huyo mzee anachoma nyama ya binadamu nini????
ReplyDeleteJAMANI AMINI USIAMINI BABU ANATIBU KWELI,SHANGANZI YANGU ALIKUWA NA CANCER,AMEENDA KWA BABU SASA YUPO SAFI KABISAAAAAAAAAAAAAAA.UKITAKA PROOF ZAIDI TUMA EMAIL YAKO TUWASILIANE.
ReplyDeleteKazi na dawa. Ila hizo nyama zinatamanisha.
ReplyDeleteBongo Tambarare naona miland cruiser in four wheel ina cruise tu huko...South Africa kutibiwa kweli hamtaki mnakimbilia maji yaliyochotwa mtoni...Si twasikia mwalali millions sasa hii ni nini kama sio desperation za good health care?
ReplyDeleteWatu wote hao na Govt haifuatilii kuona kuwa watu wanatibiwa kweli au wanaliwa tu hela zao hapo something is really wrong with our Govt....
Utapeli uko wa kila aina....Na wengi wanatumia jina la Yesu kushiba pia...Sio hii ni mara ya kwanza kuona haya...The devil has been busy but Govt should say something to awakening the people...
Just angalia hayo maplastic yaliyowekwa hiyo dawa...Hali yake na watu walivyo wengi huko ikianza ugonjwa wa kuambukiza hapo tutamlaumu nani?
Nadhani babu angewaambia watu waende na vikombe vyao...
Jamani hayo masufuria au ndoo mbona kama sio masafi sana? Kweli afya inazingatiwa kweli hapo?
ReplyDeletelet us be realistic and god power can be proven very easy. no one doubt God is powerful lakini hata kanisa la katoliki wakisikia bikira maria ametokea hawakimbii kukubaliharaka hivyo..... What if this is all fake... will everyone abandon the lutheran church leading a thousand of his followers including me in a wrong path....
ReplyDeletewe cant blame people for running to babu why because there is shortage of health care, people are poor... 500 seem very reasonable and what does one have to loose.... I pray and hope that this is God mercy at the same time... i am skeptical because I know the power of brain.... and the power of evil.....
IN THE EVERY THINGS ON INSIDE THE WORLDS NO BODY DONT GIVE YOU EDUCATIONS HERE THERFORE IT HAVE PLAYED THE PARTS NO EDUCATIONS OF SCHOOL HENCE PEOPLE ARE SCRUMBLES TO GETTING MEDICINE WHICH IS NOT CURES ANY THINGS,I AM VERY SADDEN TO HEAR PEOPLE IS LIVING THEIR HOMES SND GOES TO PAY ATTENTIONS OF NO MEDICINES FAKE. I PITY YOU MY FRIENDS THE PERSON HERE WHO HAVE PLAYING THESE PART ARE NOT NORMAL IS DOES THIS FOR ONLY AGENDA OF HER OWNS.READ MY MOUTH NOT CURE AIDS FOR ANY MEDICINES LIGHT NOWADAYS SO DONT RUSH TOO QUICKLY TO GET ANYTHING UP THERE. PEOPLE GIVE ME BREAKS NO MEDICINE CURES AT ALL.
ReplyDeletehizi kuni zitakazokatwa hapo kijijini mbona itakua balaa, wanamazingira wako bize kukimbilia kikombe instead of raising concerns.
ReplyDeletenyie manoponda, afya ni relative terms wazee wa zamani wameishi kwa umri mkibwa sana bila m,atatizo, ye kipindi hiki na kujidai afya ya usafi wa vyombo ndo tunakufa zaidi, so aafya ni rlative term!
ReplyDeletePeople...........Hosea4:6 & Zek10:2.
ReplyDeleteSamahani kaka Peter Nalitolela, nadhani ungeandika kwa Kiswahili ungeeleweka zaidi kuliko broken English. Kwa mtu anaejifunza kingereza ni vigumu sana kuelewa ulichoandika.
ReplyDeletemungu tu ndo anajua tusikimbilie kuhukumu.kama ni uongo ataadhibiwa yeye mwenyewe
ReplyDeletewananiudhi wanajifanya kuto maoni kwa kidhungu wakati hawajuiii....michuzi fungua blog ya kidhungu
ReplyDeleteKweli Peter Nalitolela umenifurahisha the english waooh!
ReplyDeleteWATANZANIA TUNACHONGA SANA, HEMBU TUMUULIZE MUNGU KWANI YEYE SI MNYIMI HATA ASHINDWE KUTUFAFANULIE. KWA IMANI TUTAPONA.
ReplyDeletemmh we Peter Nalitolela na hicho kiingereza chako kibovu aibuuuu.bor a ungeandika kimakonde kuliko kuijdai mzungu.pointless
ReplyDeletenyie msibishane na PETER NALITOLELA nyie ni wageni humu huyu ni mkongwe wa globu hii na sisi wote kutoka UK, USA, CANADA tunamwelewa vizuri tu
ReplyDeleteAcha uzushi, watu wa UK, USA na Canada mnaelewa nn kwa utumbo aliondika hapo. kuna chochote unachoweza kupata kwa kingereza alichotumia. nadhan aliandika maoni yake ili kila anaesoma aelewe sio mnaojiita wa uk na USA. ni bora utumie lugha rahisi yenye kueleweka, hata ukiandika kiswahili tutajua umesoma kaka peter!
ReplyDeleteFor the person who said their Aunt is now fun can you share the medical documentation pre and post treatment. I would love to see that.... Please I am desperate for this information..... I dont want to hear that someone is feeling fine no feeelings allowed...... power of the BRAIN... UKIAMBIWA LEO UNA UKIMWA UTAANZA KUUMWA HAPO HAPO HATA KAMA HUNA
ReplyDeletehahhahahaah yesu wangu icho kingereza mi hoiii...hahhaha jamani kah...seriously.
ReplyDeleteMUNGU NI MKUBWA SANA - and if this undertaking is from HIM, it will not fail whether you "human" approve it or not, upeo wetu wa kufikiri ni mdogo sana na imani yetu pia ni haba.
ReplyDeleteFOOLPROOF