Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hehehehehehhe safi sanaaaaaaa, hizi ni zama za vikombe tuuuuuu, na vikombe viendelee tuuuuuuu.....


    kudaadadadadeki....

    ReplyDelete
  2. Hovyoooooo......Albadilli mti wa mashehee..!!!

    ReplyDelete
  3. kweli hii kali hatakama ninashida kwa hii stail ya maelezo ya mganga najiuliza loliondo ina ukweli ndani yake ?? mbona kama ni kupona watu wenye shida kama hizo za magonjwa sugu wamepona kwa kuombewa na wengine hawajapona kwa njia hiyohiyo ! Inaonyesha kiasi gani mwanadamu wa hivi sasa anavosumbuliwa na shida akiwa na imani haba akitegemea miujiza !! tafuteni nanyi mtapata ! ombeni nayi mtapewa !! msisubiri ya athuman mkalewa na vya bure bila kujishughulisha kiimani na vitendo katika dini zenu kufata yale yampendezayo MUNGU. maisha tuliyonayo ni mafupi zaidi ya kuzimu sasa ya nini kuhangaikia maisha haya kwa kupoteza imani kwa MUNGU na kufata yale aliyoahidi uyatende kwenye dini yako badala ya kuamini watu wenye nia ya kutumia nguvu za giza wakisingizia yametoka kwa MUNGU.MUNGU ni mmoja kwa mkristo au muislam ila tunawacliana naye kwa njia tofauti, kwahiyo basi DAWA ni uhusiano mzuri kati yako wewe na MUUMBA na c vinginevyo !! uhusiano mzuri wako na MUNGU si hapa duniani tu kwani yu pamoja nawe milele na milele AMINA !!

    ReplyDelete
  4. 2011 is the year for ARAB REVOLUTION for Arabia and KIKOMBE REVOLUTION for east Afrika.

    ReplyDelete
  5. aaahhh counting down for D - day mayas walisema kweli 2012 ndio mwisho wa kikazi kimoja toka mwaka uhanze 2011 dunia inamatatizo kila pembe na tupo march tu .jishike na MUNGU WAKO SANAAA

    ReplyDelete
  6. kamanda anaona haya kusema, askari gani huyu?

    ReplyDelete
  7. msiilaumu miti, haina utashi wala kosa.

    ReplyDelete
  8. mmh, haya maelezo ya huyu kijana yanautata sana. haya mambo sasa yamekaa kiushindani zaidi hasa za kidini,.. yule mchungaji na huyu mti wa mashekhe sasa hapo sijui tushike lipi tuache lipi, kila la kheri tanzania taifa lisilo na matumaini

    ReplyDelete
  9. kikombe chatuwa ulaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...