Marehemu Modibo Keita
enzi za uhai wake


Kwa niaba ya familia ya Mtemvu tunawaarifu kwamba mazishi ya ndugu yetu Modibo Keita aliyefariki 10 March, 2011 yatafanyika Jumatano tarehe 16 March 2011.

Misa ya kumuombea marehemu itafanyika kuanzia saa saba kamili mchana; katika kanisa la Our Lady RC Church, Our Lady Presbytery, Raby Street, Moss side, Manchester. M16 7JQ.

Mazishi yatafanyika baada ya misa katika southern Cemetery, 212 Barlow Moor road, Cholton,Manchester. M21 7GL.

Baada ya mazishi tutakutana kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Keita kwenye ukumbi wa kanisa la Our lady Presbytery, Raby street, Moss side. Manchester. M16 7JQ. Tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, libarikiwe jina la Bwana.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Ibrahim Mtemvu: 07556361118
sixbert: 07833794013.
Nanyorry Mwasha: 07956397149.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...