Utakuwa umewahi kusikia hadithi ya Nabii asiyekubalika Nyumbani kwao.Kwa namna fulani unaweza kuiweka hadithi hiyo sambamba na ya Alex Kajumulo ambaye hivi sasa ni mwanamuziki akiwa na bendi yake ya Bushman.Miziki yake hivi sasa inasikika sehemu mbalimbali duniani.Nyumbani?Not so much.Lakini soon bila shaka tutafika huko.Ni muda na mipango.Au sio?

Lakini wakati tunasubiri muda na mipango,Bushman Band chini yake Alex Kajumulo au Babu Kaju,wanakata anga.Hivi sasa wanao wimbo ambao kwa takribani miezi miwili sasa umekuwa ukishika chati za juu za muziki sehemu mbalimbali duniani ikiwemo nchini Brazil.

Kusikiliza kibao hicho na habari zaidi za Babu Kaju nenda Bongo Celebrity

BOFYA HAPA




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...