Meneja wa Bia ya Premier Serengeti Lager, Allan Chonjo, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mchana, wakati akitangaza udhamini wa Sh. milioni 2.5 kwa timu ya Polisi Jamii, inayotarajia kucheza kesho asubuhi kwenye Uwanja wa Uhuru na timu ya TASWA FC, ikiwa ni sehemu ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Kamanda Kova, yanayoanza kesho. Kushoto ni Meneja wa Mipango na Promosheni wa Bia na Malti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Aaaa Saidiiiii ; bilieeeeeeeeee ,Safi sana dogo langu..Aminia uko juu sasa umepewa rungu tumia yale maasignment yako ya advertisement ndo penyewe hapo ulinyanyue hilo librand

    ReplyDelete
  2. Duuh michu mimi naomba ufafanuzi juu hiyo polisi jamii kwani si elewi ni kina nani? hao polisi jamii

    ReplyDelete
  3. congrats bro, unawakilisha UD

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...