Home
Unlabelled
taswira zilizotukuka toka kwa wapiga picha waliobobea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aaaaa, tisa Disemba huyoo, ah nanihiii, huyu vunja chungu
ReplyDeleteMICHU NASIKITIKA KUKUAMBIA KUWA ZAIDI YA NUSU YA HIZI PICHA NI PHOTOSHOP MODIFIED,BUT STILL VERY SMART SCENE FOR THOSE ORIGINAL ONE
ReplyDeleteAndika basi imechukuliwa kutoka camera gani na speed gan etc...
ReplyDeleteHii siwezi kusema kuwa iko photo shopped or not lakini kuna camera ya Sony au nikon kama sitakosea. Walikua wanaonyesha kwenye hii fair iliyoisha jusi tu ya technology. Wanaielezea the cheapest one itaanza kwa $1200 ni combo ya slr and point and shoot..na wamesema hiyo itawapotezea biashara professional photographers kwa vile hata mtu usiye na ujuzi ataweza kuitumia na kupata picha nzuri sana tu...Hiyo camera inakuruhusu kuchukua picha kama hiyo hapo juu kwamba utaweza kufocus your target na ku blur vitu vingine right away bila kuhitaji michemsho mingi....Naisubiri kwa hamu manake mimi ni mpenzi wa kuchukua picha lakini slr niliyo nayo inamizengwe mingi sana point and shoot it doesn't cut it for me...