kwa kuona picha zaidi kama hizi
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Aaaaa, tisa Disemba huyoo, ah nanihiii, huyu vunja chungu

    ReplyDelete
  2. MICHU NASIKITIKA KUKUAMBIA KUWA ZAIDI YA NUSU YA HIZI PICHA NI PHOTOSHOP MODIFIED,BUT STILL VERY SMART SCENE FOR THOSE ORIGINAL ONE

    ReplyDelete
  3. Andika basi imechukuliwa kutoka camera gani na speed gan etc...

    Hii siwezi kusema kuwa iko photo shopped or not lakini kuna camera ya Sony au nikon kama sitakosea. Walikua wanaonyesha kwenye hii fair iliyoisha jusi tu ya technology. Wanaielezea the cheapest one itaanza kwa $1200 ni combo ya slr and point and shoot..na wamesema hiyo itawapotezea biashara professional photographers kwa vile hata mtu usiye na ujuzi ataweza kuitumia na kupata picha nzuri sana tu...Hiyo camera inakuruhusu kuchukua picha kama hiyo hapo juu kwamba utaweza kufocus your target na ku blur vitu vingine right away bila kuhitaji michemsho mingi....Naisubiri kwa hamu manake mimi ni mpenzi wa kuchukua picha lakini slr niliyo nayo inamizengwe mingi sana point and shoot it doesn't cut it for me...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...