Kikosi cha veterani wa Simba kilichocheza leo na kuwafunga watani wao wa jadi Yanga kwa bao 1-0 lililofungwa na Shekhan Rashid (wa pili kulia waliosimama) katika uwanja wa Taifa jijini kwenhye mechi ya hisani kusaidia waathirika wa mabomu Gongo la Mboto
Kikosi cha veterani wa Yanga leo

Kwa habari kamili nenda TFF
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...