Watu wengi walikuwa wakijiuliza, na kunitumia maswali kadhaa ktk Email yangu wakiuliza "FeDë NI NANI HASA?", Nilipigwa maswali matano ya maana toka "Vijana FM", kunihusu mimi, maisha na kazi zangu. BOFYA HAPA ili kuchimbua mzizi wa FeDë na kazi zake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MPE EMAIL YANGU HUYO JAMAA NAWEZA KUMPA KAZI YA KUCHORA KWENYE KAMBPUNI YANGU HUKU. THENKXX

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...