Wachezaji wa timu ya Kijitonyama Veterans (juu) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupambana na timu ya Ponta (chini) katika mfululizo wa Kombe la Pasaka, mechi za kombe hilo zinazofanyika katika uwanja wa Bora - Kijitonyama. Katika mchezo wa jana Jumapili kati timu hizo, timu ya Kijitonyama Veterans iliondoka na ushindi wa bao 1-0. Hata hivyo Kamati ya mashindano ya Kombe la Pasaka inategemea kuwa na kikao cha kujadili suala la utovu wa nidhamu lililoonyeshwa na timu ya Kijitonyama Veterans. Bingwa wa Kombe la Pasaka atajinyakulia jezi zenye thamani ya Shilingi 250,000/.Picha zaidi tembelea: http://knyamaveteran.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...