Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (shoto) pamoja na Mwakilishi wa Nakayama kutoka Japan ambae pia ni Rais wa Shirikisho la Uchumi na Maendeleo kwa nchi za Africa(AFRECO), Seneta Tetsuro Yano (kulia) wakiwa katika moja ya darasa la shule ya Sekondari ya Nyamisati wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani jana.
mshikamano wa viongozi.
Mwalimu Mkuu wa Shule yaSekondari ya WAMA NAKAYAMA iliyopo Nyamisati wilayani Rufiji Mkoani Pwani, Twaha A. Twaha (kushoto kaunda suti) akitoa maelezo ya shule hiyo wakati akimtembeza shuleni hapo mgeni wao kutoka Japan, Seneta Tetsuro Yamo (kulia tai nyeusi) Mwengine kati ni Mkalimali wa Seneta Yano,Niinuma Takash.
picha ya pamoja na uogozi pamoja na wanafunzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...