Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikagua tango lililolimwa kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo muda mfupi baada ya kufungua kituo cha utafiti na mafunzo ya wakulima huko Dakawa Morogoro leo asubuhi.Kituo hicho kinachojulikana kama The Demonstration Centre of China agricultural Technology kimejengwa kwa msaada wa serikali ya watu wa China.Kulia pembeni ya Rais ni Profesa wa utafiti Chen Hualin
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua power tillers na zana nyingine za mafunzo muda mfupi baada ya kufungua kituo cha utafiti na mafunzo ya wakulima huko Dakawa Morogoro leo asubuhi.Kituo hicho kimejengwa kwa msaaada wa Serikali ya watu wa China(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...