Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara muda mfupi baada ya kuwasili makao makuu ya Wizara hiyo jengo la Waterfront jijini Dar es Salaam na kuzungumza nao leo mchana.
Waziri Wa Viwanda na Biashara Dr.Cyril Chami akisoma taarifa ya utekelezaji ya Wizara wakati wa Ziara ya Kikazi ya Rais DktJakaya Mrisho Kikwete leo mchana.Kushoto ni katibu mkuu wa Wizara hiyo Bi.Joyce Mapunjo na kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Bwana Lazaro Nyalandu(picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...