Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na wakazi wa Kigamboni wakati alipozungumza nao kuhusu hatua za uendelezaji mji mpya wa Kigamboni.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka (kushoto) akimtambulisha Kaimu Mthamini Mkuu wa Serikali Bibi Ndeny Ulomi (kulia) wakati alipozungumza na wakazi hao jana. Sehemu ya eneo la Kurasini linaendwelezwa kwa shughuli za bandari.
Kamati inayowakilisha wakazi watakaoguswa na mpango wa mji mpya wa Kigamboni ikitambulishwa rasmi jana wakati wa kikao kati ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka na wakazi hao.
Sehemu ya wakazi waliojitokeza kwenye kikao wakimshangilia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka wakati akiwahutubia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...