Home
Unlabelled
kibanda hiki kulikoni??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwanza kabisa sioni maana wala sababu ya kutumia fedha kuweka vibanda katika stendi za dalada. Ebu tuangalie kwa makini ni kituo gani cha daladala chenye kuvuli ambacho kinatumika ipasavyo? angalia posta, manyanya na moroko zote ni vituo vizuri kabisa lakini watumiaji ni wafanyabiashara ndogo ndogo na wauza magazeti. Je hivi vituo wamejengewa wafanya biashara? upan de mwingine angalia daladala sina simama eneo gani kupakia abiria? katikati ya barabara hadi kuziba njia magari mengine yasipite hadi daladala isogeze basi lake au aondoke kuendelea na safari yake. Kwa ufupi vituo vya daladala ni vituo vya biashara, dala dala husimama popote, na manispaa ipo, na wengine wasimamizi wa kila aina wapo lakin?
ReplyDeleteHicho kibanda itabidi kisubiri katiba kwanza!!
ReplyDeleteCareless life in Tanzania !!!huo ni mfano mdogo tu kuna mambo mengi ya hovyo yanayoendelea nchini kwetu na wahusika wanayaona na pia wananchi wanayaona,na yote haya yanaonekana ni sawa tu bora maisha yaende,hii ni aibu sana kuona mambo mengi yanakwenda kienyeji "Disorganisation"kila pahali.Naona hata nchi ndogo kama Rwanda imeanza kutushinda siku hizi,sasa hilo banda lililoanguka litaachwa hivyo hadi lije lisababishe ajali na watu wabaki kusikitika !!kweli bongo tambarare !!!
ReplyDeletemtoa maoni Kigali,Rwanda
TUSUBIRI JAPAN IJE ITUFADHILI!!!NA POLE TUMESAINI JUZI TU!!!
ReplyDelete