Sehemu ya kibanda cha abiria wa daladala kilichopo maeneo ya Ilala Karume jijini Dar kikiwa kimeanguka chini na kuachwa bila kutafutiwa ufumbizi wowote kwa siku kadhaa sasa. Wahusika mpoo?? Ama mpaka JK aje seme??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kwanza kabisa sioni maana wala sababu ya kutumia fedha kuweka vibanda katika stendi za dalada. Ebu tuangalie kwa makini ni kituo gani cha daladala chenye kuvuli ambacho kinatumika ipasavyo? angalia posta, manyanya na moroko zote ni vituo vizuri kabisa lakini watumiaji ni wafanyabiashara ndogo ndogo na wauza magazeti. Je hivi vituo wamejengewa wafanya biashara? upan de mwingine angalia daladala sina simama eneo gani kupakia abiria? katikati ya barabara hadi kuziba njia magari mengine yasipite hadi daladala isogeze basi lake au aondoke kuendelea na safari yake. Kwa ufupi vituo vya daladala ni vituo vya biashara, dala dala husimama popote, na manispaa ipo, na wengine wasimamizi wa kila aina wapo lakin?

    ReplyDelete
  2. Hicho kibanda itabidi kisubiri katiba kwanza!!

    ReplyDelete
  3. Careless life in Tanzania !!!huo ni mfano mdogo tu kuna mambo mengi ya hovyo yanayoendelea nchini kwetu na wahusika wanayaona na pia wananchi wanayaona,na yote haya yanaonekana ni sawa tu bora maisha yaende,hii ni aibu sana kuona mambo mengi yanakwenda kienyeji "Disorganisation"kila pahali.Naona hata nchi ndogo kama Rwanda imeanza kutushinda siku hizi,sasa hilo banda lililoanguka litaachwa hivyo hadi lije lisababishe ajali na watu wabaki kusikitika !!kweli bongo tambarare !!!
    mtoa maoni Kigali,Rwanda

    ReplyDelete
  4. TUSUBIRI JAPAN IJE ITUFADHILI!!!NA POLE TUMESAINI JUZI TU!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...