Rapa bora wa mwaka Khalid Chokoraa akiongoza mashambulizi wakati Mapacha Watatu walipofanya onesho la pamoja na mwanamuziki bora wa mwaka 20% ukumbi wa Mzalendo Pub Millenium Towers Kijitonyama jijini Dar Jumapili
20% (wa pili shoto) na tuzo zake akiwa na trupu lake zima Combinenga productions baada ya onesho.
Kwa mapicha zaidi na habari
BOFYA HAPA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...